Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi ni Mtanzania bara.
Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata yeye hajui.
Nachukua fursa hii kuwaonya wageni wote wanaonunua ardhi kinyemela kuwa, dawa yao iko jikoni.
Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata yeye hajui.
Nachukua fursa hii kuwaonya wageni wote wanaonunua ardhi kinyemela kuwa, dawa yao iko jikoni.