Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme



2GW daaaaaaahh hii nzuri sanaaaa, Mungu mkubwa.
 
Kuna ukweli.......maana king musukuma yupo kwenye chombo cha juu zaidi cha kitunga sheria akitokea la saba hlafu kuna mtu an 1 ya 7 haimsaidi yeye mwenyewe wala taifa lake
Sasa ni wakati muafaka wa kuanza kuhoji impact ya hizi division one kwenye jamii. Zina mchango gani! Au watoto wanakaririshwa tu kama kasuku huko mashuleni. They cannot reason!!?
 
1. Naomba kwa mwenye uelewa aniambie hasara za kufungua kampuni kwa majina binafsi na
2. Kufungua biashara kwa registered name kutoka BRELA
Kuna kitu muhimu cha kujadili kupitia hapa kwa mikataba hii kama Taifa
 
Qumaniner, TANESCO imeuzwa

Tanes
 
Mbona mwarabu tu.., kwani Muzuungu na Uchina hawana uhitaji wa kuwekeza Tz.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu huo ni ushauri wa Marekani, maana wao ndo washauri wa Tanzania kwenye maswala ya bandari.

DP world wanakuja ili China wasichukue bandari ya Bagamoyo
 
Embu ficha upumbavu wako na wewe kila kitu unawaza udini tu
 
UNASEMA UNAZALISHA UMEME WA GAS...PAAP UNAANZA KUJENGA BWAWA LA NYERERE.. hujakaa sawa unaitaa waarabu wazalishe umeme wauze au wawauzie tanesco alafu watuuzie sisi?? haya ndo yale ya IPTL ya kina rwegemalilaaa. NCHI IMEJAA UHUNIII KILA KONA

UNASEMA UNAZALISHA UMEME WA GAS...PAAP UNAANZA KUJENGA BWAWA LA NYERERE.. hujakaa sawa unaitaa waarabu wazalishe umeme wauze au wawauzie tanesco alafu watuuzie sisi?? haya ndo yale ya IPTL ya kina rwegemalilaaa. NCHI IMEJAA UHUNIII KILA KONA
Msaidie kuelewa huenda ni mnufaika wa zile Dola 50,000 za mfalme!
 
Kama ndivyo, pesa zilizokopwa kujenga miundombinu ya bandari na Hilo nyerere damp linalojazwa maji kwa nusu Karne watazirejesha hao wajomba wa mama?
Halafu unawalaumu watoa hoja kwa kudunisha elimu zao siyo sawa, kuwa mstaarabu Basi ndugu msomi!
 
Kuhusu tanesco hakuna shida, shida ni kuuza bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…