Kampuni ya Masdar ya Falme za Kiarabu (UAE) itashirikiana na TANESCO kuzalisha umeme

Wanazalisha umeme upi wakati tiyari lipo bwawa tumeisha jenga kwa mkopo wa mapesa mengi, Mungu hatayaruhusu aya
 
Wanazalisha umeme upi wakati tiyari lipo bwawa tumeisha jenga kwa mkopo wa mapesa mengi, Mungu hatayaruhusu aya
Ndio wameshasaini na huo mkataka wa Pili ipo mingine 35 yote bado kuanza kazi tu kwa hio subiri waarabu waje wajomba wa Oman na Qatar walimpa Bibi connection ya UAE sasa anaitendea kazi

Alhabib rakatel
 
Kama ni kweli basi usalama wa taifa wa nchi hii hauisadii nchi, I stand to be corrected
 
Na ukichukua top 10 ya wezi wa mali ya umma nchi hao ndyo vinara,wamesahau mpaka benki yao ilihusika ktk wizi wa mabilion ya walipa kodi
 
Tumechelewa sana... Kanyaga twende.... (Alisikika kijana mmoja ambaye anatoka jeshi la Nyuki wa mama)
 
Safi....
 
Bado ATCL, SGR, AIRPORT, NHC na hizi Bus Stands,
DJ walete🎹🎹🎶🎶🎼🎼
 
Mwarabu ameshakuwa na gundu dhidi ya watz hata kama wapo na tija nzuri dhidi ya kutuvusha katika usingizi wa maendeleo tulio nao. Kusiwe na harufu ya udini katika pinga pinga hii maana si kwa nguvu za upande wa pili zinavyotumika katika kila mkono wa mwarabu . Nchi inapaswa kuwa na vyanzo vingi vya Nishati ya umeme kwani hiyo itapelekea hata wawekezaji kuona wako mahali salama Kwa kufanya uzalishaji Kwa wakati na kufanya mitaji Yao kukuwa zaidi na pia nchi kuendelea.
TUKOSOE KWA HOJA NA SI KWA KUANGALIA NANI YUPO JUU NA KUTAKA KUMKOMOA.
 
Haya ndio mambo tunapenda kuyasikia, wapinga maendeleo mezeni wembe🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…