kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Wewe sio Afisa Afya ni Mtu mmoja mjinga sana.Maelezo yako hapo juu nikiyafupisha kidogo yakawa mistari michache wewe ungepokea rushwa bila kujali ya baadaye.Ungeenda kuwaambia wanao msitumie maziwa ya Cowbell tumieni Nido.Mkuu mimi ni Afisa Afya, nazungumzia uhalisia. Kama hao Cowbell wanafanya hivyo ujue ni kawaida yao, siyo mara ya kwanza.
Na hao waliowakamata hawana budget, wanategemea fines na rushwa. Ukiona wanawekana wazi kwenye media na kupelekana polisi ujue hawakuelewana.
Ndio nchi yetu ilivyo. Hata kwenye maduka ya jirani na kwenye depots expired peoducts kibao tu. Supermarkets ndio huwa at least wanajitahidi kufanya ukaguzi.