Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

BODI ya maziwa nchini imekamata tani tatu za maziwa ya unga ya 'Cowbell' yaliyokuwa yanakaribia kuishiwa muda wa matumizi yakiwa yameongezwa muda wa matumizi zaidi....

Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae umeonekana mkuu, karibu sana kwenye hii mi5 tener!

Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na maziwa ya kikatuni. Kitu kikishatengenezwa na Mchina jia ni sumu. Maziwa ya Tanga Fresh, ASAS, Dar Fresh n.k yapo. Narudia achaneni na maziwa ya Unga. Yote ni shida tu.
 
Mkuu wewe hujui chochote au unakwepa kuuona uhalisia. Nambie chanzo cha mapato cha TFDA, NEMC, TBS mpaka wawe na mapato makubwa sana ??
Hatuzungumzii uhalisia hapa,tunazungumzia mkono wa birika uliousemea ukiwa kama mfanyakazi wa Sekta ya Afya.Umenisikitisha sana mkuu.
 
Ingefaa Wapigwn risasi hadharan kama wafanyavyo wachina
 
Mkuu yaani nchi hii ukiwa sensitive sana utaishi kwa shida sana. Hata huko kwenye depots za makampuni ya vinywaji kama Coca-cola, Pepsi expired products kibao ukiwauliza wanasema eti wanasubiria TFDA/sasa TMDA ndio huwa wanafanya disposal...
Mabadiliko kutoka TFDA kwenda TMDA yalihusisha kuhamisha regulation ya 'food products' kuyapeleka TBS kwa hiyo TMDA haihusiki kabisa na mambo ya chakula.
 
Hapo Cowbell wamekuwa mkono wa birika tu au kama sivyo walishatoa chochote kwa TMDA na TBS sasa Bodi ya Maziwa na wenyewe wanataka tena, Cowbell wamekaza!!!
Itakuwa una Darubini kali mjumbe.
 
Hapo Cowbell wamekuwa mkono wa birika tu au kama sivyo walishatoa chochote kwa TMDA na TBS sasa Bodi ya Maziwa na wenyewe wanataka tena, Cowbell wamekaza!!!
TMDA haihusuki na maziwa tena labda ungesema TBS tuu ndio yenye mamlaka ya kukagua maziwa
 
Hii kitu ni hatar sana na hawa wafanya biashara hii ndio michezo yao, juzi nilienda supermarket moja nikanunua unga wa lishe wa mtoto kuchunguza expired date ni dece 2021 na man date ni DEC 2020 lakini nilipouchunguza kwa makini nikagundua kuna wadudu mle ndani ikabidi nimfuate muuzaji bahat nzur ni kwamba aliniomba radhi ila nilikuwa nataka niwafanye kitu ambacho wasingekuja kukisahau

Kwa hiyo hilo supermarket ndio waka chukua hao wadudu waka wadumbukiza mle ndani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achaneni na maziwa ya kikatuni. Kitu kikishatengenezwa na Mchina jia ni sumu. Maziwa ya Tanga Fresh, ASAS, Dar Fresh n.k yapo. Narudia achaneni na maziwa ya Unga. Yote ni shida tu.
Ulichoandika hakihusiani na mzizi wa hili suala, inamaana hayo maziwa uliyoyataja hayawezi fanyiwa kitu kama kilichoelezwa humu.
 
Ndo maana hayo maziwa yana ladha ya hovyo hovyo tu, serikali piga marufuku maziwa ya unga kuja kuparkiwa nchini. Tuhimize uwekezaji kwenye viwanda vyetu vya ndani...
 
Huwa nakuwa na mashaka Sana na bidhaa tunazonunua kwenye supermarket,

Mungu tu ndio anatulinda watanzania.
 
Kwahiyo ndugu yangu wewe hapo ungepokea mlungula, bila kujali maziwa haya yangeumiza watanzania wenzako!?

Naanza kuamini ni sisi kweli, tuliowauza ndg zetu utumwani...

🙂 Huenda hata Yuda alikuwa Mwenye asili yetu.
🤣🤣🤣yudaa?
 
Back
Top Bottom