Ukweli huwa nalipa serikalini!Nalipa 30,000/-
Hatimae umeonekana mkuu, karibu sana kwenye hii mi5 tener!
BODI ya maziwa nchini imekamata tani tatu za maziwa ya unga ya 'Cowbell' yaliyokuwa yanakaribia kuishiwa muda wa matumizi yakiwa yameongezwa muda wa matumizi zaidi....
Hatimae umeonekana mkuu, karibu sana kwenye hii mi5 tener!
Taratibu za kuingia kwenye hizi bodi ukoje?Kongole kwa bodi ya maziwa,kazi nzuri kwa mustakabali wa afya ya jamii yetu haswa watoto
Hatuzungumzii uhalisia hapa,tunazungumzia mkono wa birika uliousemea ukiwa kama mfanyakazi wa Sekta ya Afya.Umenisikitisha sana mkuu.Mkuu wewe hujui chochote au unakwepa kuuona uhalisia. Nambie chanzo cha mapato cha TFDA, NEMC, TBS mpaka wawe na mapato makubwa sana ??
Mabadiliko kutoka TFDA kwenda TMDA yalihusisha kuhamisha regulation ya 'food products' kuyapeleka TBS kwa hiyo TMDA haihusiki kabisa na mambo ya chakula.Mkuu yaani nchi hii ukiwa sensitive sana utaishi kwa shida sana. Hata huko kwenye depots za makampuni ya vinywaji kama Coca-cola, Pepsi expired products kibao ukiwauliza wanasema eti wanasubiria TFDA/sasa TMDA ndio huwa wanafanya disposal...
Itakuwa una Darubini kali mjumbe.Hapo Cowbell wamekuwa mkono wa birika tu au kama sivyo walishatoa chochote kwa TMDA na TBS sasa Bodi ya Maziwa na wenyewe wanataka tena, Cowbell wamekaza!!!
TMDA haihusuki na maziwa tena labda ungesema TBS tuu ndio yenye mamlaka ya kukagua maziwaHapo Cowbell wamekuwa mkono wa birika tu au kama sivyo walishatoa chochote kwa TMDA na TBS sasa Bodi ya Maziwa na wenyewe wanataka tena, Cowbell wamekaza!!!
Hii kitu ni hatar sana na hawa wafanya biashara hii ndio michezo yao, juzi nilienda supermarket moja nikanunua unga wa lishe wa mtoto kuchunguza expired date ni dece 2021 na man date ni DEC 2020 lakini nilipouchunguza kwa makini nikagundua kuna wadudu mle ndani ikabidi nimfuate muuzaji bahat nzur ni kwamba aliniomba radhi ila nilikuwa nataka niwafanye kitu ambacho wasingekuja kukisahau
Ulichoandika hakihusiani na mzizi wa hili suala, inamaana hayo maziwa uliyoyataja hayawezi fanyiwa kitu kama kilichoelezwa humu.Achaneni na maziwa ya kikatuni. Kitu kikishatengenezwa na Mchina jia ni sumu. Maziwa ya Tanga Fresh, ASAS, Dar Fresh n.k yapo. Narudia achaneni na maziwa ya Unga. Yote ni shida tu.
🤣🤣🤣yudaa?Kwahiyo ndugu yangu wewe hapo ungepokea mlungula, bila kujali maziwa haya yangeumiza watanzania wenzako!?
Naanza kuamini ni sisi kweli, tuliowauza ndg zetu utumwani...
🙂 Huenda hata Yuda alikuwa Mwenye asili yetu.