Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

Cowbell si kwa ajili ya watoto tu...maziwa ya unga yanatumiwa na Kila rika

Ni kwajili ya watoto na makundi maalumu, ukitaka maziwa mtu mzima ni bora ukamue maziwa halisi.
 
Yeah waliongeza kemikali hatari inaitwa melamine kufake maziwa yaonekane Yana protini kubwa ilikua bonge la scandal mwaka 2008
 
 
Duu jibu swali unachouliulizwa na unachojibu tofauti

Swali gani hapo, nimesema maziwa ya unga ni kwa watoto na makundi maalumu... ukasema kama sina hela!!

Kwahiyo wewe ukiwa na hela ndo unaona ufahari 'kumumunya' maziwa ya kutengenezwa?
 
Swali gani hapo, nimesema maziwa ya unga ni kwa watoto na makundi maalumu... ukasema kama sina hela!!

Kwahiyo wewe ukiwa na hela ndo unaona ufahari 'kumumunya' maziwa ya kutengenezwa?
aah hapo ndipo tulipotezana niliuliza pale kam huna pesa?? nikimaanisha wanaonunua sio kwamba wanaonunua Milk powder hawapendi maziwa harisi bali bajeti na uchumi kumbuka Cowbell unapata mpaka kwa 100 Tzs ila pure milk milk mine minimum ni 600-700.
 
Yaani sijui tuko hivi by design au by decision!?

Unaweza kuhisi bado tunamalizia kubadilika kutok kwenye unyama... Akili kama za mbuzi
Adui wa kwanza kabisa kwetu sisi waafrika Ni Rushwa.Tuko tayari kuua mamilioni ya watu wetu ili ujengewe kagorofa.adui wa pili Ni ujinga.hata humu ndani utagundua Hilo Kama unachunguza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…