gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Huyo ni mbwaHata Wakiwa ni Jakaya au Mo au Maalim kama ni Watanzania Kuna shida?
Au mpaka muwe nyie kina Heche na Mqambene ndio Watanzania sana au? 😁😁
Huyo ni mbwaHata Wakiwa ni Jakaya au Mo au Maalim kama ni Watanzania Kuna shida?
Au mpaka muwe nyie kina Heche na Mqambene ndio Watanzania sana au? 😁😁
Mbona unakazania uzalendo? what is uzaledo? Kuuza mali za watanganyika?DART YAPIGA HATUA: FURSA KAMPUNI YA KIZAWA MOFAT YAPEWA MKATABA WA KUENDESHA MWENDOKASI KUTOKA GEREZANI - MBAGALA KWA MIAKA 12
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala.
Kampuni hiyo ya Kizalendo ya Mofat inatarajiwa kuanza kutumia mabasi 255 yanayotumia gesi ifikapo Agosti 2025.
Akizungumza hayo hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Dart, Dkt. Athuman Kihamia, alithibitisha kuhusu mkataba huo jana katika mahojiano ya simu akiwa nje ya nchi.
Alisema maendeleo yanakuja wakati serikali ikihamia rasmi katika kuhamisha uendeshaji wa awamu ya kwanza na ya pili ya mfumo wa BRT kwa sekta binafsi, ikiwa ni juhudi za kuongeza ufanisi na kushughulikia changamoto za muda mrefu za usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
''Hii ni kampuni ya kizalendo na tayari imepata mitaji na dhamana zinazohitajika kuendesha huduma hii.
"Hivyo hii ni hatua kubwa katika juhudi zetu za kutoa huduma za usafiri wa uhakika na bora kwa wakazi wa jiji. Kampuni hiyo imejitolea kuleta mabasi ndani ya muda tuliokubaliana,"alisema Dkt. Kihamia.
Mwelekeo wa kuwashirikisha zaidi waendeshaji wa ndani ulisisitizwa pia Jumatatu na Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, aliyewaambia wahariri jijini Dar es Salaam kuwa Dart sasa inalenga kuvutia wawekezaji zaidi—hasa kwa kuwa ujenzi wa Awamu ya Kwanza na ya Pili umekamilika, huku Awamu ya Tatu ikitarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Kwa mujibu wa mfumo mpya, mfumo wa BRT utaendeshwa na kampuni kati ya nne hadi sita, badala ya mfumo wa sasa wa mtoa huduma mmoja unaoongozwa na UDA Rapid Transit (Udart).
Sasa unachotoa hongera ni kipi hali ya kuwa inajulikana ni michongo ya wakubwa? full kupendeleana.. ujinga tu.Hata Wakiwa ni Jakaya au Mo au Maalim kama ni Watanzania Kuna shida?
Au mpaka muwe nyie kina Heche na Mqambene ndio Watanzania sana au? 😁😁
Mbwa kivip ThibitishaHuyo ni mbwa
Ngoja abdul-rasul Majid mie nikaombe kaziAbdul
Mrisho
Dhiriniwa
Ana manyoya ya kupinga na mkia wa umbumbumbuMbwa kivip Thibitisha
Kwenye "wakubwa" ungeandika wezi.Sasa unachotoa hongera ni kipi hali ya kuwa inajulikana ni michongo ya wakubwa? full kupendeleana.. ujinga tu.
Mnaongea kama mmekatwa vichwa mambo makubwa ,halafu unakuta ni digidigi wadogo tu🤔Ngoja abdul-rasul Majid mie nikaombe kazi
Jibu kwa hojaAna manyoya ya kupinga na mkia wa umbumbumbu
Na wewe ni nani?Huyo ni mbwa
Tafuta hela wewe,kuwa na hela siyo wizi,wakati wenzenu wanatafuta hela nyi mnazunguka na misalaba ya jumuiya mitaaniKwenye "wakubwa" ungeandika wezi.
Hujaona hoja hapo!?Jibu kwa hoja
Ulitaka iwe michongo ya mafukara?Sasa unachotoa hongera ni kipi hali ya kuwa inajulikana ni michongo ya wakubwa? full kupendeleana.. ujinga tu.
Kumnanga mtu sio hojaHujaona hoja hapo!?
Ni hoja,huyo atapinga kila kitu cha serikali,kuanzia sgr,bwawa la nyerere,daraja busisi,ruzuku kilimo, irrigation schemes,elimu bure mpaka sekondari, wawekezaji wa nje, wawekezaji wa ndani etcKumnanga mtu sio hoja
Mfuga mbwaNa wewe ni nani?
Matumizi ya kodi za wananchi kuwaletea maendeleo japo ni kidogo atapingaje mfano 🤔Ni hoja,huyo atapinga kila kitu cha serikali,kuanzia sgr,bwawa la nyerere,daraja busisi,ruzuku kilimo, irrigation schemes,elimu bure mpaka sekondari, wawekezaji wa nje, wawekezaji wa ndani etc
Kapinga vyote hivyoMatumizi ya kodi za wananchi kuwaletea maendeleo japo ni kidogo atapingaje mfano 🤔