Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
AY & MwanaFa walilipwa na Tigo ,almost billion 3 kwa Tigo kutumia ringtone ya muziki wao,Kama Mwakinyo alivunja mkataba na waliomshitaki wana mawakili wa uhakika watapata hela ya kutoshaHawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.