Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

Kutokana na janja janja za bongo Itakua ngumu kuproove kwamba wanaoiwezo wakuingiza hela zote hizo, hapo itaombwa financial statement ya hiyo kampuni na mwenendo wao wa kulipa kodi unakuta hawajawahi kudeclare profit wala kuingiza zaidi ya Million 50.
Hakuna kitu kama hicho kwamba kama hauja wahi kushika million 10 huwezi kufungua kesi ya madai ya 10M? vipi kama hio ndio biashara yako ya kwanza ulikua unaenda kushika hio pesa?
 
Hivi Mwakinyo hana management nyuma yake?

Iweje ashtakiwe yeye na sio management yake?
 
Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Mkataba/makubaliano unajua maana yake
Mfano mikataba ya madini nchi hii asilimia tunazopata
Na bado ikitokea mistake wazungu huwa wanashtaki na wanalipwa tena kupitia kodi

Lakini umeshindwa kuona hizo gharama waliotumia japo kwa uchache hapo
Mwakinyo ni mpuuzi na lazima alipe tu hakuna namna

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Thamani ya mkataba million 6.
Fidia unataka karibu Nusu billion
Tuache masihara kama Mwakinyo wanampa million 6, hao mabondia wengine wanapewa Tsh ngapi?
Magumi yote yale?
Kwani alishikiwa panga apigane chief
Au yeye mwenyewe aliridhika
Na hoja yake ya kugomea pambano haihusiani na malipo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Humo kuna specific damages, yaani madhara ambayo waandaji wa pambano wameingia kama hizo gharama za tiketi, malazi, ukumbi, dola 3000 alizopewa Mwakinyo n.k.. hizi gharama lazima zithibitishwe mahakamani.

Pia kuna general damages ambayo ni madhara ya kiujumla ambayo haya Mahakama itaona ikupe fidia ya kiasi gani kutokana na madhara uliyopata.

Mfano kwa pambano kutofanyika, kampuni imepata hasara ya kifedha ambazo kama pambano limefanyika....hivyo mahakama itawafidia kwa kiwango itakachoona inafaa.
 
Why aligoma kupigana?
Kwenye mkataba kulikuwepo na habari za kuwa utabadilishiwa bondia?
Madai ya Mwakinyo hayakua kubadilishiwa bondia yeye alikua anataka apange yeye watakao pigana supporting fights kuna watu alikua ana bifu nao hakutaka wapigane siku hio ndio maana alipima uzito na huyo bondia alie badilishwa na yeye ndio alifanya connection ya huyo bondia Mkenya
 
Humo kuna specific damages, yaani madhara ambayo waandaji wa pambano wameingia kama hizo gharama za tiketi, malazi, ukumbi, dola 3000 alizopewa Mwakinyo n.k.. hizi gharama lazima zithibitishwe mahakamani.

Pia kuna general damages ambayo ni madhara ya kiujumla ambayo haya Mahakama itaona ikupe fidia ya kiasi gani kutokana na madhara uliyopata.

Mfano kwa pambano kutofanyika, kampuni imepata hasara ya kifedha ambazo kama pambano limefanyika....hivyo mahakama itawafidia kwa kiwango itakachoona inafaa.
Wanasahau kuna Azam TV kama sponsor na TV rights owner, alitangaza fight ya Mwakinyo baadae haikuwepo
 
Hawa mabwana kama wanataka kumkomoa mwakinyo. Kwa maana wanataka Hadi gharama za ukumbi arejeshe wakati tukio liliendelea kwa mabondia wengine kama kawaida !! Au ukumbi walilipa kwa ajili ya mwakinyo peke yake.???
 
Madai ya Mwakinyo hayakua kubadilishiwa bondia yeye alikua anataka apange yeye watakao pigana supporting fights kuna watu alikua ana bifu nao hakutaka wapigane siku hio ndio maana alipima uzito na huyo bondia alie badilishwa na yeye ndio alifanya connection ya huyo bondia Mkenya
So, hawaoni hiyo ya kubadilisha Bondia itabackfire Akiwaruka....?
Au kuna ushahidi kuwa alikubali?
Na pia mpaka anapata Nguvu ya kuwapangia nani apigane means waliandaa kwa pamoja hayo mapambano( partner).
 
Anaruka vipi wakati mkataba ali sign baada ya kupima uzito na huyo Mkenya? hayo makubaliano ya flani asipande yalikua ya mdomo hayapo kwenye maandishi kama unakumbuka a day before fight alifanya interview clouds FM akasema hana tatizo la la kimkataba wala malipo ila kuna makubaliano flani ambayo hakuyasema
 
Ngoja tuone......
 
Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Kamuulize Musiba kesi yake mahakama iliamua alipe shilingi ngapi Kwa kumchafua Beard Membe (RIP)

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Hajui kwamba huko Mahakamani kuna kulipa Gharama, kulipa Faini na Kulipa Fidia....,.yote huzingatiwa kulingana na Kesi...

Mwankinyo kwenye kulipa Gharama na Fidia kwa kusababisha Hasara na usumbufu kwa walalamikaji hachomoki kama alikiuka mkataba.

Atawajibika kwa Upumbavu wake...

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
nini tofauto ya gharama na fidia?
 
nini tofauto ya gharama na fidia?
Hujawahi sikia hukumu inamtaka mtu baada ya kushindwa Kesi kulipa Gharama za uendeshaji wa Kesi!?

Gharama - kuwajibika kwa ujinga, uzembe wako

Fidia. ... Kulipa hasara iliyopatikana kutokana na kukiuka kwake mkataba.....

Unawafidia walioathirika......

Ina mambo mengi.....

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi mwakinyo ameshashindwa hata kama mtabishana mpaka asubuhi kwa madai hayo nasema hivi; mtu binafsi hawezi kushindana na kampuni. elewa neno kampuni
 
Existence of a valid contract + Breach of a contract (terms and conditions) + Damages = Compasation for loss or damages caused by that breach of contract
 
Back
Top Bottom