AY & MwanaFa walilipwa na Tigo ,almost billion 3 kwa Tigo kutumia ringtone ya muziki wao,Kama Mwakinyo alivunja mkataba na waliomshitaki wana mawakili wa uhakika watapata hela ya kutoshaHawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Kwamba ikiwa na bima ndio atakayefanya uharibifu hupaswi kumshtak???Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Ulifanikiwa kuuona mkataba kati ya mwakinyo na huyo wakala???SIendeshwi na Chuki, if jambo litaamuliwa mahakamani.
Mwakinyo atashinda hiyo kesi, imekaa kipumbavu na imefunguliwa na watu wapumbavu.
Ikimuendea vibaya sana ni kurudisha hiyo 3k.
Tukutane mahakamaniUlifanikiwa kuuona mkataba kati ya mwakinyo na huyo wakala???
Kama akishindwa na wao wakadhibitisha kuwa hayo mapato yangelipatikana kwani kuna previous records za hayo makadilio na pia mapato yalilipiwa kodi kwa mujibu wa sheria.Sheria haiko hivyo mkuu lazima alipe cost zote ambazo kampuni imeingia
Sasa unabisha niniKumbe ni makadirio ya mapato unayohisi ungepata but Jambo liko NDIVYO SIVYO
Kwa hiyo ndugu yangu na utu uzima huu unaamini Mwakinyo alijiamria tu kuvunja mkataba bila kukaa na Wanasheria wake?Atajifunza na kuelewa thamani ya Mkataba ni nini!? Watu wanaweka Hela kuvuna mabilioni sio ujinga ....Atalipa Gharama ya upuuzi wake.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kwamba Mwakinyo hana makosa yoyote katika bishara yao? Kwanini ni wapumbavu naomba kujua?Mwakinyo atashinda hiyo kesi, imekaa kipumbavu na imefunguliwa na watu wapumbavu.
Labda ilikuwa advance baada ya pambano ndio angemaliziwaDuuuh kumbe maisha ni magumu kote kote aseeeh, mtu kama Mwakinyo na CV yake nzito vile anapigana pambano kwa 3000 USD?! Sasa hawa mabondia wengine wa chini yake wanalipwaje?! Yani hela ya kulipia ukumbi ni kubwa (8M) kuliko anayolipwa Mwakinyo?!
Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
😂😂😂
Thamani ya mkataba million 6.
Fidia unataka karibu Nusu billion
Tuache masihara kama Mwakinyo wanampa million 6, hao mabondia wengine wanapewa Tsh ngapi?
Magumi yote yale?
Mwakinyo anashinda hiyo kesi asubuhi......
Mwakinyo anaishinda hio kesi mapema sana, hao vibwengo hawajielewi
Kutokana na janja janja za bongo Itakua ngumu kuproove kwamba wanaoiwezo wakuingiza hela zote hizo, hapo itaombwa financial statement ya hiyo kampuni na mwenendo wao wa kulipa kodi unakuta hawajawahi kudeclare profit wala kuingiza zaidi ya Million 50.
Tatizo hiyo fidia ni exaggerated mtu umemuona anathamani ya USD 3,000 unawezaje kuprove kwamba amekutia hasara ya zaidi ya Dollar 50,000/= hawa jamaa ni wanyonyaji kishenzii na hapa wakakutana na kichwa cha mwenda wazimu...tukae kwa kutulia tuone Kesi itakavyoenda.
...Mwakinyo atashinda kesi wamemuonea mno
Ni bora waseme pambano lirejee ila chochotr Mahakama itakachoamua chakiwango hicho Mwakinyo hana uwezo wa kulipa.
Sasa huyo Bondia ikumbukwe Amefungiwa ..Hana kazi, atalipa na nini??
Huyu jamaa wanataka wampoteze kwenye game