ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hakuna kitu kama hicho kwamba kama hauja wahi kushika million 10 huwezi kufungua kesi ya madai ya 10M? vipi kama hio ndio biashara yako ya kwanza ulikua unaenda kushika hio pesa?Kutokana na janja janja za bongo Itakua ngumu kuproove kwamba wanaoiwezo wakuingiza hela zote hizo, hapo itaombwa financial statement ya hiyo kampuni na mwenendo wao wa kulipa kodi unakuta hawajawahi kudeclare profit wala kuingiza zaidi ya Million 50.
Kwahiyo haijalishi mkataba una thamani gani?Kesi ni ya kuvunja mkataba. Kwa hivyo kisheria inaangaliwa hasara zote zinazoamabatana na kuvunjiwa kwa mkataba.
Why aligoma kupigana?Hii kesi ni ngumu Sana kwake. Maana alishapokea pesa na kusaini mkataba.
Mkataba/makubaliano unajua maana yakeHawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Kwani alishikiwa panga apigane chief[emoji23][emoji23][emoji23]
Thamani ya mkataba million 6.
Fidia unataka karibu Nusu billion
Tuache masihara kama Mwakinyo wanampa million 6, hao mabondia wengine wanapewa Tsh ngapi?
Magumi yote yale?
Nilijua mabondia wanapiga hela, kumbe ni udwanzi......Kwani alishikiwa panga apigane chief
Au yeye mwenyewe aliridhika
Na hoja yake ya kugomea pambano haihusiani na malipo
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Humo kuna specific damages, yaani madhara ambayo waandaji wa pambano wameingia kama hizo gharama za tiketi, malazi, ukumbi, dola 3000 alizopewa Mwakinyo n.k.. hizi gharama lazima zithibitishwe mahakamani.Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
Madai ya Mwakinyo hayakua kubadilishiwa bondia yeye alikua anataka apange yeye watakao pigana supporting fights kuna watu alikua ana bifu nao hakutaka wapigane siku hio ndio maana alipima uzito na huyo bondia alie badilishwa na yeye ndio alifanya connection ya huyo bondia MkenyaWhy aligoma kupigana?
Kwenye mkataba kulikuwepo na habari za kuwa utabadilishiwa bondia?
Wanasahau kuna Azam TV kama sponsor na TV rights owner, alitangaza fight ya Mwakinyo baadae haikuwepoHumo kuna specific damages, yaani madhara ambayo waandaji wa pambano wameingia kama hizo gharama za tiketi, malazi, ukumbi, dola 3000 alizopewa Mwakinyo n.k.. hizi gharama lazima zithibitishwe mahakamani.
Pia kuna general damages ambayo ni madhara ya kiujumla ambayo haya Mahakama itaona ikupe fidia ya kiasi gani kutokana na madhara uliyopata.
Mfano kwa pambano kutofanyika, kampuni imepata hasara ya kifedha ambazo kama pambano limefanyika....hivyo mahakama itawafidia kwa kiwango itakachoona inafaa.
So, hawaoni hiyo ya kubadilisha Bondia itabackfire Akiwaruka....?Madai ya Mwakinyo hayakua kubadilishiwa bondia yeye alikua anataka apange yeye watakao pigana supporting fights kuna watu alikua ana bifu nao hakutaka wapigane siku hio ndio maana alipima uzito na huyo bondia alie badilishwa na yeye ndio alifanya connection ya huyo bondia Mkenya
Anaruka vipi wakati mkataba ali sign baada ya kupima uzito na huyo Mkenya? hayo makubaliano ya flani asipande yalikua ya mdomo hayapo kwenye maandishi kama unakumbuka a day before fight alifanya interview clouds FM akasema hana tatizo la la kimkataba wala malipo ila kuna makubaliano flani ambayo hakuyasemaSo, hawaoni hiyo ya kubadilisha Bondia itabackfire Akiwaruka....?
Au kuna ushahidi kuwa alikubali?
Na pia mpaka anapata Nguvu ya kuwapangia nani apigane means waliandaa kwa pamoja hayo mapambano( partner).
Ngoja tuone......Anaruka vipi wakati mkataba ali sign baada ya kupima uzito na huyo Mkenya? hayo makubaliano ya flani asipande yalikua ya mdomo hayapo kwenye maandishi kama unakumbuka a day before fight alifanya interview clouds FM akasema hana tatizo la la kimkataba wala malipo ila kuna makubaliano flani ambayo hakuyasema
Kamuulize Musiba kesi yake mahakama iliamua alipe shilingi ngapi Kwa kumchafua Beard Membe (RIP)Hawa waliofungua kesi ni wajinga, yaani mtu umemlipa dola 3000 halafu unataka akurejeshee dola 50,000+ hapo wataambulia Dola 3000 tu na gharama za kesi, waache utapeli na wakumbuke kesi ya Madai hafungwi mtu, na kila biashara inapaswa iwe na Bima kuensure unforeseen liabilities kama hizi, kwahiyo wakawadai kampuni yao ya Bima.
nini tofauto ya gharama na fidia?Hajui kwamba huko Mahakamani kuna kulipa Gharama, kulipa Faini na Kulipa Fidia....,.yote huzingatiwa kulingana na Kesi...
Mwankinyo kwenye kulipa Gharama na Fidia kwa kusababisha Hasara na usumbufu kwa walalamikaji hachomoki kama alikiuka mkataba.
Atawajibika kwa Upumbavu wake...
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hujawahi sikia hukumu inamtaka mtu baada ya kushindwa Kesi kulipa Gharama za uendeshaji wa Kesi!?nini tofauto ya gharama na fidia?
Nani kakudanganya?Nyinyi ndio mnamponza, mahakamani hatusikilizi voice note tunasoma maandishi.
Manyoko