bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Oct 26, 2023 #81 DullyJr said: Nani kakudanganya? Click to expand... Unaweza toa mfano wa kesi iliyo amuliwa kwa voice note?
DullyJr said: Nani kakudanganya? Click to expand... Unaweza toa mfano wa kesi iliyo amuliwa kwa voice note?
Mulama JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,036 Reaction score 1,808 Oct 28, 2023 #82 WAKO WAPI WATU WAKO said: Ushangai Nchi yako ikikiuka mikataba inavyolipishwa Mabilioni 300 na ujinga, unashangaa ya Mwankinyo!!! Hapa atajifunza ...kapitishwa njia Ngumu hata kaa haamini ....mjinga yule Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app Click to expand... Yaonekana una kitu nje ya hii mada wee weka wazi tu kama mna ugomvi na Mwakinyo aise!
WAKO WAPI WATU WAKO said: Ushangai Nchi yako ikikiuka mikataba inavyolipishwa Mabilioni 300 na ujinga, unashangaa ya Mwankinyo!!! Hapa atajifunza ...kapitishwa njia Ngumu hata kaa haamini ....mjinga yule Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app Click to expand... Yaonekana una kitu nje ya hii mada wee weka wazi tu kama mna ugomvi na Mwakinyo aise!