Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

Status
Not open for further replies.

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
habari wakuu,

kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha,

jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu.

nikasubiri kama masaa mawili hawaweka update yoyote, nikasema isiwe kesi ngoja nisubiri kesho ambayo ndio leo sasa,hamuwezi amini mpaka muda huu hawaja update kitu chochote match nilikuwa naitazama imetoa nlakini nafatilia wananiambia kwamba subiri subiri,

nikwaomba kama hiyo match moja inaleta shida ifuteni mnilipe kibunda changu kilicho baki,wakasema subiri, nimesubiria yaniu umbali wa abiria kutoka dar kwenda mbeya na kurudi dar hakuna majibu.

nimewapigia customer care: hawajui lolote zaidi ya kuniambia subiri baadhi ya chats zao hizo hapo chini;

Karibu Pigabet​

avatar

Robert
avatar

Robert
Pigabet Support

c4bf6633aa89a76af7461279581d8bdb.png

Robert 15:01
Habari Mwanamichezo. Ninawezaje kukusaidia?
Mayunga Walwa 15:01
habari ,mkeka wangu inakuaje?

mtau update lini na sa ngapi?

naona muda unaenda tu hamnipi mrejesho
Robert 15:02
Tunaomba bet id
Mayunga Walwa 15:02
2010968815
Robert 15:02
Ok naomba muda niufanyie kazi
Mayunga Walwa 15:03
kaka,nimereport hili swala jana.mpaka sasa hakuna majibu ndio maana ninauliza kama silipwi unambie

kama kusubiri nimesubiri mpaka kichwa kinaumwa kama kupiga simu nimepiga mpaka dk zimekata, lakini sipati msaada wowote ule ,unaniambiaje nisubiri wakati match imeisha na ina matokeo?

its more than 24 hrs sasa sipati majibu sahihi zaidi ya kuzungushwa tu au kwa kuwa sipo dar ndio mnanitreat namna hii

it pains so much

yani sasa hivi kwako ninreport mara ya 104 sasa,sipati msaada ambao ni technic zaidi ya jibu linalosema "subiri" uingekuwa wewe ndio mimi ungejisikiaje?

kinachouma zaidi pesa niliyobetia ilikuiwa na matumizi mengine nnikasema niweke pesa niongeze iwe nyingi tangu jana,lakini mpaka leo hata kula sijala nasubiria nyie miungu watu huruma yenu ndio mnilipe kwa jambo ambalo ni haki yangu kulipwa ndani ya muda mwafaka kabisa

inaumiza na inafikirisha sana, je ungekuwa ni wewe unaambiwa subiri subiri subiri zaidi ya mara 100 ingekuwaje?
Mayunga Walwa 15:08
mara napewa jibu match ilihairishwa dk ya 45, wakati huo huo mimi nimebet ikiwa live dk ya 65, mara naambiwa subiri subiri subiri subiri subiri. seriously?

je nikitaka kubet kwa mkopo mtanikubalia ?

jibu ni hapana

kinachoumiza zaidi ni npale mtu unatoa malalamiko sipati majibu,u just read and pass through kana kwamba mimi ni mzoga na sio binadamu,inauma sana

kwani hapa ,ninaomba huruma yangu au ninataka haki yangu?

naomba majibu, wamekuwa nini kuhusu mkeka wangu?
14Mayunga Walwa 15:14
naomba majibu, wamekuambia nini kuhusu mkeka wangu?

kama niachane nao,nambie kama niache kubet nambie,na kama hamsolve just tell me, nijue

ukweli ni mzuri kuliko kukaa kimya na kusoma txt zangu na kupita tu

maana hapa pia natafuta namba za boss wenu wa kampuni nimwambie kwa ushahidi then ,niende MICHEZO YA KUBAHATISHA ili nione je wateja huwa munwahudumia namna hii?

inauma sana na nimeumia saaaana
Robert 15:17
Ombi lako bado linafanyiwa kazi
Mayunga Walwa 15:18
pesa yangu,nimeweka kwa cc mmenikata,bundle langu, akili yangu ya kubet,nashinda mnataka huruma yenu thats aparthemoniasis

na siwezi kukubalihali hii, mngekuwa waungwana tangu nareport jana mngekuwa mmeshapata mwafaka,lakini hadi muda huu majibu ni hayo hayo subiri subiri, ofisi moja ,inafikirisha sana
Read

kila nina toa report kwake majibu ni hayo hayo ndio nimelifikisha idara husika, hizo idara zipo ukraine kwenye vita?kwann msinifanyie wepesi swala langu maana kama ni kuvumilia nimevumilia tangu njan lakini bado sijapata mwafaka kuhusu whats going on

asubuhi nilipata majibu ya kwamba match ilihairishwa,nimefatilia vyanzo zaidi ya 100 mechi ni kweli ilihairishwa lakini iliisha na kuna matokeo kinachowafanya nyie msi update mkeka wangu nini?

basi nimewaomba kama vipi hiyo match ina utata itoeni,mnilipe kwa match zilizoisha,hamtaki basi iwekeni odd equal to 1 hamtaki basi nilipeni hamtakai nyie mnataka nini basi

basi rudisheni pesa yangu nniliyobetia nibet upya hamtaki

nyie mnataka nini?
Mayunga Walwa 15:25
mnajua mnakera sana

naomba kuuliza hivi kwli nimetafuta pesa nimebet,wamenikata tozo,bundle langu akili yangu mkeka umeshinda hawataki kunilipa inauma sana wakuu.

Nimedhamiria kuwapeleka Michezo ya kubahatisha Taifa

Lakini pamoja na hilo, ninaanza kampeni rasmi ya kuwambia vijana waache kucheza pigabet ni wezi na matapeli,
 
nimedhamiria kuwapeleka Michezo ya kubahatisha Taifa

lakini pamoja na hilo, ninaanza kampeni rasmi ya kuwambia vijana waachye kucheza pigabet ni wezi na matapeli,
 
Pigabet ndio nn
 
Umeshinda sh ngapi ndugu
 
Naomba kuuliza, maana mi sielewi kitu, kama mechi iliahirishwa, matokea yamepatikanaje?

Na sheria za michezo ya kubahatisha zinasemaje juu ya mechi iliyobetiwa kuahirishwa?

Tupe screen shot ya mkeka kuna watalaamu wa betting humu wanaweza kujua makosa yalipo kama ni kweli umeshinda au laa!
 
Nilidhania mdogo wangu umeacha kubeti kumbe ndo umekolea na umepigwa. Hao jamaa wasikupe tu maana hujashinda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom