Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

Status
Not open for further replies.
Naomba kuuliza, maana mi sielewi kitu, kama mechi iliahirishwa, matokea yamepatikanaje?

Na sheria za michezo ya kubahatisha zinasemaje juu ya mechi iliyobetiwa kuahirishwa?

Stake inarudishwa...., Unless kama walistate otherwise....
 
Yeye hataki pesa yake anataka kile alichoshinda kama ilikuwa accumulator na game moja ikawa postponed inabidi alipwe faida yote excluding the postponed game
Sawa, kama sheria inasema hivyo, basi alipwe haraka!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom