Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.
Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.
Precision is pure evil!
Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka