Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

Hao wenye dhamana ya kuwafutia leseni,baba zao wanamiliki shea na kampuni
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Umejaa funza kichwani.
 
Rostitamu amenunua kampuni ya ndege juzi tu.

Sasa unganisha dots, uanzia ajali ya precision air na haya maoni ya precision air kufungwa. Mimi sijasema chochote. Utakachowaza ni mawazo yako binafsi!
 
Then ww utapata faida gani? Au watoto wako watosoma bure?

Hiyo Kodi wanayolipa utalipa ww?

Abiria ambao ni wengi na ndege ni chache utawabeba ww?

Acha wivu
 
Kwan bus haliwezi beba watu 30 likapata ajali vifo 10 majeruhi 22 au wanatangazwa waliokuwa kwenye bus tu aliedhurika akiwa nje ya bus Yani hakupanda hausiki?
Ndege na bus ni sawa?

Kwamba inawezekana hao waliozidi waligongwa wakiwa ndani ya nyungo za kichawi, au ni wavuvi sio?
 
Rostitamu amenunua kampuni ya ndege juzi tu.

Sasa unganisha dots, uanzia ajali ya precision air na haya maoni ya precision air kufungwa. Mimi sijasema chochote. Utakachowaza ni mawazo yako binafsi!
Move Yao nadhani Wangepora Bombardier zetu zipigwe RANGI ya Jangwani kunufaisha wahuni.

Mashariki na magharibi wanapambana.
 
Kama ni kweli ajali ilisababishwa na hali mbaya ya hewa basi inaelekea rubani wa ndege hakuwa na ujuzi au uzoefu mkubwa. Ilitakiwa aendeshe kutumia geji zake na GPS (IFR) siyo kujaribu kuangalia kwa macho anatua wapi (VFR) maana huwezi kuona. Angalia marubani wanavyofanya hapa

Unatoa mfano wa mbingu na Ardhi

Kama uokoaji ni mpaka kijana amechukua mtumbwi kwenda kuvunja mlango

Anza kwanza na uokoaji, Yan hatuna ndege za haraka zikaja na manyundo wakashuka Kwa kamba kama wanavyoshuka uwanja wa taifa wakavunja watu watoke?

Yule dogo anasema alishindwa kumtoa pilot because alikuwa anavunja kioo Kwa mti wa mbao

So lete na clip ambayo watu wanaokolewa huko duniani
 
Ndege na bus ni sawa?

Kwamba inawezekana hao waliozidi waligongwa wakiwa ndani ya nyungo za kichawi, au ni wavuvi sio?
Nakupa mfano ila akili yako inashindwa jiongeza labda iliangukia mtumbwi au waokoaji enyewe walizidiwa wakafa
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Ni muhimu utoe ushahidi usiotiliwa shaka kuhusu tuhuma ulizotoa ambazo ni nzito kama Zina ukweli.
Pili, kuhusu concorde, Air France flight 4590 ya tarehe 25 July 2000 ilianguka na kuua waliokuwa ndani na wengine nje. Hata hivyo, Air France haikufungiwa hadi leo (labda kama unataka ndege aina ya ATR zifungiwe).
Tunahitaji kuhukumu kwa haki kwa kwa kutumia akili, bila chuki wala mihemko kwa faida yetu, taifa zima na vizazi vijavyo.
 
Hakuna popote kwe wenye akili duniani mambo yanafanyika kienyeji hivyo
Lakini Precision imepata ajali na kuuwa na kulemaza watu, jambo la kwanza kufanyika na hili hufanyika Dunia nzima ni kusimamisha aidha Kampuni au ndege zote Type ya hiyo iliyopata ajali mpaka ukweli ujulikane kulinda Watanzania, ukiniuliza mimi it’s over kwa hiyo kampuni tayari ina hati chafu hata nje ya nchi!
 
Jifiche na aibu ndogo ndogo kwa kutujiingiza katika mijadala mikubwa wakati una akili ndogo
 
Umenifungua macho;
1. Mlianza kwa kutabiri ajali

2. Ikatokea mkagoma kuokoa badala yake
Wananchi wenye uchungu na ndugu zao
Wakajitosa kuokoa

3. Mnaanza kutimiza azma yenu ya hujuma hii.
Hakuna kinachotokea bahati mbaya.

Yote huanzia Ulimwengu wa Roho na matokeo huja kuonekana Ulimwengu wa mwili.
 
Tuwekee hapa ushetani wa Precision Air.
Utakuta huyo ni TAGA, hivyo anaona hao jamaa, wana VINASABA vya CDM, hivyo akiwaona angani tu, anajisikia KICHEFUCHEFU, yeye anajisikia raha akiziona zile zilizoandikwa "HAPA KAZI TU"!
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Una mtindio wa ubongo
 
Back
Top Bottom