Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

Taarifa zinaonesha watu 2 kuzidi ndani ya ndege!!!

Je walioshika Bomba kama daladala za mbagala au Kuna Mahali tunadanganywa?
Umekomalia kitu kisicho na mantiki. Uwezo wa ndege ni kubeba abiria wengi zaidi ya idadi ya watu 45. Kwa hiyo ndege haikuzidisha watu kuliko uwezo wake.
 
Kwann taarifa zitofautiane?

Yaani tuambiwe 43, mwisho tunapojumlisha iwe 45!!!

Nani mwenye uwezo wa kuedit taarifa atakavyo? Yale ni maisha ya watu.
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Makasirikoooo
 
Wewe naona akili yako imejaa chumvi na pilipili. Kivipi Precision ilianzishwa kifisadi, acha wivu wewe tunafuata biashara huria. Kama huwezi biashara ondoka
 
Pumba tupu. Hivi unajua Air tanzania kwa miaka 10 iliyopita imepata ajali mara mbili.Tushukuru mungu hakuna aliyekufa ila zote zilikuwa mbaya kuweza kusababisha vifo.
Ajali ya kwanza Air tanzania ilitokea uwanja wa ndege wa Mwanza 2010 Boeing 737 Landing gear zilishindwa kutoka ikatua kwa tumbo AIR CRASH IN MWANZA | Tanzanian Affairs
NDEGE MALI YA AIR TANZANIA YAPATA AJALI.
Ajali ya ya pili ilitokea Kigoma uwanjani ikitaka kupaa ikaingia kwenye mashamba updates za ajali ya ndege ya ATC huko kigoma leo asubuhi
 
Kwann taarifa zitofautiane?

Yaani tuambiwe 43, mwisho tunapojumlisha iwe 45!!!

Nani mwenye uwezo wa kuedit taarifa atakavyo? Yale ni maisha ya watu.
Watu wanachanganya. Orodha ya walioandikwa, ilikuwa tofauti na idadi ya waliokuwemo kwenye hiyo ndege. Kwa hiyo,utata ni tofauti ya waorodheshwa, na idadi kamili. Utata huo unahojiwa, hata kama ndege ingekuwa na uwezo wa kubeba watu 100.
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Jibu Kwanza haya maswali :

1) Kuna uchunguzi wowote wa kitaalam uliofanyika kuhusu hii ajali?

2) Aliyefanya huo uchunguzi ni nani?

3) Uchunguzi ulifanyika lini?

4) Je, Uchunguzi ulibaini nini?

5) Je, Uchunguzi ulionyeshaje uhusiano wa kuanzishwa kwa Precision air na chanzo cha ajali?

6) Je, Uchunguzi ulionyeshaje kuhusika kwa ushirika kati ya Precision na Kenya airways, katika kusababisha ajali?

7) Je, unaweza kuambatanisha hapa ripoti hiyo ya kitaalamu juu ya Uchunguzi huo ili na sisi tuweze kujiridhisha?

Kama huna majibu ya maswali haya (na mengine mengi) na pia kama huwezi kutupatia nakala ya Uchunguzi, tutajua tu kuwa wewe ni mtu wa namna/aina gani katika hili taifa.
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!
Chuki na hasira zako za kijinga utajipa ugonjwa wa moyo bure.
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
acha ujinga wewe precision ipo kwa mujivu wa sheria zote za nchi,ajali itaangaliwa kwa misingi hiyo na kama kuna hitilafu ilitokea hatua stahili zitazhukuliwa lakini sio kulifungia shirika
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
Kama Mwandishi Bora kabisa wa CNN anasema wamejitahidi na amekuwa anasafiri Mara nyingi na precision air na inakodhi vigezo wewe mburula hata ndege hujawahi panda unaongea Nini hasa? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221108-114040.png
    Screenshot_20221108-114040.png
    157.8 KB · Views: 2
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
Nahisi hoja zako haziko sawa. Unataka Precision waadhibiwe kwa kuanguka ndege. Sawa. Lakini mbona kwenye mifano yako walioadhibiwa ni watengenezaji (Boeing) na sio makampuni ya usafirishaji Ethipoa Airlines na Atlantic?
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
acha ukabila na kuwanga mchana, ushirikiano wa Precision air na Kenya air ways ni wa kibiashara, kila mtu/mfanyabiashara anatafuta namna atakavyoweza kupata faida. Hoja yako kuwa PRECISION AIR ilianzishwa kifisadi haina mashiko, ilianzishwa kifisadi serikali ikiwa wapi? takukuru, polisi, usalama wa taifa wakifanya nini?
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
Mkuu Kijakazi naona umeamua "kuwasimamia kucha" hawa jamaa wa Precision, jina lina maana nzuri sana. Ukija katika ufanisi wa kazi unagundua kuwa hilo jina halifanani na mbwembwe za huo uhakika wenyewe.
 
Pumba tupu. Hivi unajua Air tanzania kwa miaka 10 iliyopita imepata ajali mara mbili.Tushukuru mungu hakuna aliyekufa ila zote zilikuwa mbaya kuweza kusababisha vifo.
Ajali ya kwanza Air tanzania ilitokea uwanja wa ndege wa Mwanza 2010 Boeing 737 Landing gear zilishindwa kutoka ikatua kwa tumbo AIR CRASH IN MWANZA | Tanzanian Affairs
NDEGE MALI YA AIR TANZANIA YAPATA AJALI.
Ajali ya ya pili ilitokea Kigoma uwanjani ikitaka kupaa ikaingia kwenye mashamba updates za ajali ya ndege ya ATC huko kigoma leo asubuhi

Air Tanzania ya mwaka 2010? Hizo Fokker ? Air TZ yetu imezaliwa ndani ya miaka 5/6 iliyopita na ndege mpya kabisa imara toka kiwandani, mpaka sasa hivi hakuna ajali, Mungu mkubwa!
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
Tuonyeshe ilivyoanzishwa kifisadi,miaka 30 iliyopita ilikuwepo ni vipi atc ilikufa waulize CCM
 
Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.

Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.

Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.

Precision is pure evil!

Nyingine: Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka
Utakuwa kijakazi mpaka kufa kwako.
 
Back
Top Bottom