MWANANGU KUWA MCHAWI SIYO LAZIMA UVAE IRIZI, HATA HIZI NI DALILI TOSHA ZA KUWA WEWE NI MWANGAKwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.
Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.
Precision is pure evil!
Utakuwa umetoroka Mirembe!Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.
Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.
Precision is pure evil!
Upumbavu wa waafrika wengi ni huu na akili potofu za Magufuli na genge lake. Kama Magufuli alishindwa kuua Precision hataweza huyu dada kamwe.Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.
Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.
Precision is pure evil!
Miyeyusho tuEh mara yule ajiuzulu
Hawa kampuni ifungiwe
Ehh
Ova
Hapo ukute umekunywa chimpumu chako unakuja kuharisha hovyo hapa. Watanzania ni watu wa hovyo sana.Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa walishitakiwa.
Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
Poleni wafiwa na majeruhi nawatakieni quick recovery.
Precision is pure evil!
unadhani hii ndo sababu ya ajali?Hivyo Kampuni ya Precision ifungiwe na ifutwe, ilianzishwa kifisadi kwa kuuwa Shirika letu la Umma kwa makusudi kama hiyo haitoshi inashirikiana Kenya Airways against Air Tanzania.
unadhani hii ndo sababu ya ajali?
Monopoly ndio inayofanya mashirika mengine ya Umma yasi perform, hebu jaribu kufikiri kama Precision isingekuwepo nchini hasa kwa local routes hiv ATCL ingekuwaje, Nadhani wewe humjui Matindi na genge lake vzr, can u see siasa zinazoendela juu ya ATCL kumilikishwa ndege hizo kutoka umiliki wa TGFA ambao wanasimamia Aircraft Lease agreement kwa niaba ya serikali?
Unajua Mtaji Hasi wa ATCL unalozungumziwa na kina Jerry Silaa unatokana na nini? usiongee vitu usivyovijua my friend, ATCL ikiachwa yenyewe itabweteka na ndio maana serikali haitokuja kuilikisha Ndege ATCL, Matindi full Ku-lobby ili apewe umiliki wa ndege lkn sababu ni ili atapanye hizo mali!!