Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma


Ndio mlipanga hivyo? Subirini ukweli utakuwa wazi.
 
Huna unachojua, madhara ya kutochamba vizuri haya
 
Hujielewi wewe...concord na boeing sio air liners. So unataka kusema Ethiopian airways na Air France walifungiwa?
 
Lissu alishasema wakimaliza na CHADEMA watawafuta nyie. Nimeanza kuelewa Leo mnataka Presicion Air ifutwe kisa na mkasa mamlaka ya ndege bukoka ilishauri ndege itupwe ziwani watakuja kuwaokoa na kumbe Wala hawakuwa na huo mpango.
 
Umetumia kichwa au makalio?
 
Yani usimamishe ATR-42 zote kwa ajili ya moja kupata ajali 😁

Hawa ndege expert balaa tupu
 
Kwa bandiko lako hili unatoa kiashiria kuwa ajali hii ni hujuma ili muifute Precision
 
Taarifa zinaonesha watu 2 kuzidi ndani ya ndege!!!

Je walioshika Bomba kama daladala za mbagala au Kuna Mahali tunadanganywa?
 
Taarifa zinaonesha watu 2 kuzidi ndani ya ndege!!!

Je walioshika Bomba kama daladala za mbagala au Kuna Mahali tunadanganywa?
Hivi kwenye ndege mtu hawezi kupanda bila ticket.? Tunafanya hivyo kwenye mabasi mtu anaweza akasafiri bure bila kuwa na ticket.
 
Hivi mamlaka ya hali hewa TZ huwa kazi yake nini?
NDEGE ilipo kuwa inaondoka DAR ES SALAAM kuelekea BUKUBA MARUBANI hawa kuwa na Update yoyote ya hali hewa ?
 
Mkuu, aina ya ndege iliyopata ajali haiwezi kusimamishwa kufanya safari maana ndege iliyopata ajali Jana ni aina ya ATR, ni zaidi ya miaka 20 ATR zipo, safari zingesimamishwa iwapo tu aina ya ndege iliyopata ajali ni aina mpya kwenye aviation industry na imepata ajali Mara nyingi tangu muda mchache wa kuundwa kwake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa zinaonesha watu 2 kuzidi ndani ya ndege!!!

Je walioshika Bomba kama daladala za mbagala au Kuna Mahali tunadanganywa?
Jina la ndege model umepewa jarbu kugoogle Basi Kwanza inabeba abiria wangap
 
Sio kosa lako ni kawaida ukishukuwa upandeuo lazma akili uiweke jalalani
 
Umenifungua macho;
1. Mlianza kwa kutabiri ajali

2. Ikatokea mkagoma kuokoa badala yake
Wananchi wenye uchungu na ndugu zao
Wakajitosa kuokoa

3. Mnaanza kutimiza azma yenu ya hujuma hii.
 
Unajua maana ya watu kuzidi?

Mf abiria waingie 10, wafariki 8 na majeruhi 4.

Utaamini taarifa unazopewa?
Kwan bus haliwezi beba watu 30 likapata ajali vifo 10 majeruhi 22 au wanatangazwa waliokuwa kwenye bus tu aliedhurika akiwa nje ya bus Yani hakupanda hausiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…