Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

I like it hii ni biashara nzuri kumbe naweza wekeza 285k nikapata milion within days
 
MBUZIMAWE99 NAKUSHUKURU SANA,nakuhakikishia nipo njiani na Toyo yangu naenda kuufungua na nakuja nao Babati Mjini kuuuza,nimeambiwa kuna jinsi ya kuuchezea ili GPS yao isiusome mahali ulipo,kwa faida ya wengi naomba Elimu hiyo ili huyu nitakayemuuzia asije kupata matatizo,nimeshapata tayari Mteja wa TV Inchi 43,daaaah asante sana sana sana sana Mkubwa MBUZIMAWE99[emoji1666][emoji1666][emoji122][emoji122]
 
Na zile TIN namba za kiongozi wa CCM tukipewa nazo tuzifanyaje? Tupe mbinu
 
Kuuchezea ni dakika 0 tu na hautasoma kwenye GPS tena,nitakupa Elimu ya jinsi ya kuuchezea badae kidogo maana naingia kikaoni ofisini
 
Putin.. Mbinu ya kijajii. Anzisha mzozo nenda ukatengene pesa.
 
Usikazane kushawishi watu kufanya jinai, Jinai si nyepesi hivi. Kama kuna wawili watatu walifanya wakapita haimaanishi kila atakayefanya atapita. Kuna siku yupo atakayedondokewa na kitu kizito.
 
Mim nimenunua mtambo wao na Sasa ni zaidi ya miaka mitano uko fresh tu.Ila polen kwa changamoto zilizowakuta ok
 
Ukifanya malipo si mtambo utaonekana ulipo?
 
Usikazane kushawishi watu kufanya jinai, Jinai si nyepesi hivi. Kama kuna wawili watatu walifanya wakapita haimaanishi kila atakayefanya atapita. Kuna siku yupo atakayedondokewa na kitu kizito.
Kampuni yenyewe inaongoza kwa kufanya JINAI
 
Ukifanya malipo si mtambo utaonekana ulipo?
Ukishafungiwa na Mafundi wao maana yake unakuwa unasoma kwenye GPS zao mahali ulipo,hivyo ukiung'oa kuna jinsi ya kuuchezea(kitaalam inaitwa TEMPARING),hivyo kuna jinsi ya kuu-temper zile nyaya zake na unakuwa hausomi tena kwenye GPS yao,au hata wakikufungia mpya nyumbani kwako,unaweza ukaamua ukau-temper hivyo ukaendelea kuutumia bila kulipia na kule kwao unakuwa hausomi hivyo hawana ujanja wa kuuzima wakiwa kwao,kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…