Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

Mobisol ya zamani iliyokuwa a start-up ya kuweza kusaidia / kufikisha umeme kwa watu wasio na umeme iliendeshwa kwa kutumia misaada na huenda products zao zilikuwa na ubora..

Baadae iliuzwa kwa ENGIE na na hii Mysol ni just flagship ya hio hio kampuni Engie..., In short management / owners wamebadilika...

"ENGIE Mobisol UK Limited, which is the pay-as-you-go (PAYGo) solar industry, has changed its flagship commercial brand Mobisol to MySol following the acquisition of solar energy providers Mobisol and Fenix International"

Ila business model yao hata wasingeuza huenda ingekuwa ngumu kidogo kutokana na ugumu wa kuwakopesha watu huenda wasilipe accordingly (ila mwanzoni it was among the most thought after business)..., Kwahio Bwana Thomas Gottschalk (Founder) nadhani ameshaenda kwenye pastures new....
 
Kuuchezea ni dakika 0 tu na hautasoma kwenye GPS tena,nitakupa Elimu ya jinsi ya kuuchezea badae kidogo maana naingia kikaoni ofisini
Umenikumbusha juzi, jamaa alikuwa anachimba mtaro wa maji. Akapigiwa simu na binti (simu za kichina sauti ipo juu), jamaa alimweleza kuwa 'nipigie baadaye nipo katika kikao ofisini'.
 
Ukishafungiwa na Mafundi wao maana yake unakuwa unasoma kwenye GPS zao mahali ulipo,hivyo ukiung'oa kuna jinsi ya kuuchezea(kitaalam inaitwa TEMPARING),hivyo kuna jinsi ya kuu-temper zile nyaya zake na unakuwa hausomi tena kwenye GPS yao,au hata wakikufungia mpya nyumbani kwako,unaweza ukaamua ukau-temper hivyo ukaendelea kuutumia bila kulipia na kule kwao unakuwa hausomi hivyo hawana ujanja wa kuuzima wakiwa kwao,kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake
Hii niliwah kuifikiria maana niliwah kuchezesha 1 ya voda. Hawa nilihofia msala unaweza kuwa mkubwa
 
Usikazane kushawishi watu kufanya jinai, Jinai si nyepesi hivi. Kama kuna wawili watatu walifanya wakapita haimaanishi kila atakayefanya atapita. Kuna siku yupo atakayedondokewa na kitu kizito.
Kitu kizito kama kipi,lile ni suala la mkopo, labda uniambie mkopaji gani aliyewahi kufungwa Jela kwa kushindwa kulipa deni. Haiwezekani ukope Mtambo wa Tsh.2,500,000 kwa mfano,halafu ulipie kwa miaka mitatu mpaka deni libaki tsh.500,000,halafu usipolipia hiyo Laki Tano eti waje wakunyang'anye Mtambo wako bila kujali kwamba tayari ulishawalipa Tsh.Milioni Mbili,ni punguwani tu ndie atakayekubali ujinga huo. Mimi nilikuwa Area Manager kwenye Kampuni hiyo kwa miaka 6,nilikutana na Kesi nyingi ambazo kimsingi Kampuni ni kama ilikuwa inawaonea na kuwanyanyasa wakopeshwaji ambao ni Wananchi wa vijijini wasio na Elimu yoyote ya kisheria
 
Mobisol ya zamani iliyokuwa a start-up ya kuweza kusaidia / kufikisha umeme kwa watu wasio na umeme iliendeshwa kwa kutumia misaada na huenda products zao zilikuwa na ubora..

Baadae iliuzwa kwa ENGIE na na hii Mysol ni just flagship ya hio hio kampuni Engie..., In short management / owners wamebadilika...

"ENGIE Mobisol UK Limited, which is the pay-as-you-go (PAYGo) solar industry, has changed its flagship commercial brand Mobisol to MySol following the acquisition of solar energy providers Mobisol and Fenix International"

Ila business model yao hata wasingeuza huenda ingekuwa ngumu kidogo kutokana na ugumu wa kuwakopesha watu huenda wasilipe accordingly (ila mwanzoni it was among the most thought after business)..., Kwahio Bwana Thomas Gottschalk (Founder) nadhani ameshaenda kwenye pastures new....
Mkuu inaonekana ulipita pale Mobisol Viwanja vya Nane Nane[emoji1787][emoji1787]wamekuwa wahuni tu siku hizi hivyo dawa yao ni kuwapiga tu
 
Ni sawa ila Jinai haihalalishwi kwa jinai. Ni angalizo tu nimetoa sio zuio boss. Kama una mbinu zako za kuhepa mishale pambana tu.
hawana mishale wale matapeli nawafahamu A to Z,nimefanya nao kazi kwa miaka 6 nikiwa Area Manager kwenye mikoa mbalimbali hivyo nawafahamu nje ndani
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu inaonekana ulipita pale Mobisol Viwanja vya Nane Nane[emoji1787][emoji1787]wamekuwa wahuni tu siku hizi hivyo dawa yao ni kuwapiga tu
Hapana kuna kipindi nilitokea kumsoma huyu founder wao na hii Kampuni na Business Model yao... Hii ni article kutoka financial times....

Mobisol: a cautionary tale for impact investors​

European company seen as the rock star of the solar energy industry files for insolvency

It is simply impossible to be cooler than Mobisol, the Berlin-based provider of battery-backed solar systems to homes and microenterprises in Africa. Everyone loves the picture of a village girl reading her books with a lamp powered by bright, clean electricity rather than smoky paraffin. That electricity is earning you profits, which is why you got into impact investing in the first place.

Then there has been the world-class quality of Mobisol’s presentations, from the wired-up founders on stage at international meetings to the perfectly produced videos and graphics. These expounded market prospects as big as Uber’s or Tesla’s (A billion people now! Four billion by the end of the century!) and German engineering, not only for rich BMW owners but for the rural poor! Prestigious co-investors such as the IFC, Investec, the Dutch state’s FMO and Finnfund have been there to give comfort in numbers and solidity.

Mobisol’s solar powersets proliferated by the tens of thousands in Kenya, Tanzania and Rwanda. And, of course, the Mobisol office is in the hip Berlin neighbourhood of Kreuzberg. Late workers among the dozens of young staff could take a 10 or 15-minute walk to edgy clubs such as SO36 and Madame Claude. You wish you could be them at that age. As one solar energy industry person says: “They were the rock stars of this industry.” At least they were until the beginning of this year, when Thomas Gottschalk, a founder, and Thomas Duveau, head of business development, left to start up Access to Energy Institute, a not-for-profit with an address in the same Kreuzberg building.*

Mobisol was in suspense until April 26, when the company filed for “insolvency in self-administration” with the Charlottenburg district court. Andrew Goodwin, a South African-born engineer, has been appointed by the investors and lenders as the new managing director, with support from Friedemann Schade, the “provisional administrator”, and the restructuring group of Dentons, the law firm.

Basically, Mobisol is in the German version of the US’s Chapter 11. This is actually a good thing. The company had been floating along for more than nine years with equity and debt injections from the development finance and impact investing communities. No balance sheet or income statements have been provided to the public but it appears that Mobisol had raised $80m-$90m, about two-thirds in the form of equity and one-third in debt. It will be useful for the impact investing community to get the lessons-learnt report from Mobisol’s crash.

The company’s business model has been based on a lease-to-own concept, with periodic payments made through mobile phones. An African farming family with limited cash could pay for their solar and battery system over three to four years. That sounded good; over the same time more might be spent on paraffin or extortionate fees to recharge mobile phones. But it was too good to be true. Mr Goodwin is still getting a grip on Mobisol’s restructuring, having only arrived in January. He says the real struggle Mobisol has “is not transparency or management but the economic metrics”. “First is affordability. You are sending a first world technology into the third world. The farmers (in Mobisol’s target markets) are earning one to one-and-a-half euros a day. That is very different to a Californian company putting a solar panel on a rooftop.”

The decline in solar panel and battery technology prices creates a problem for anyone financing the purchase of a system over several years. “You are continually faced with (ever) lower-cost imported products,” Mr Goodwin says. Mobisol was a pioneer in commercially addressing the solar market in Africa but now there is a host of competitors willing to lose money, at least for a while, on similar business models. Mobisol has attempted to compete by providing a warranty and service.

As Mr Goodwin says, though: “In the long run that is a better deal for the consumer but it places a tremendous strain on a company like Mobisol.” To an outsider, those 100 staffers in Kreuzberg (now down to about 60) might look a bit indulgent, but there were products to develop — perhaps too many — and a portfolio of 85,000 customers to administer. Then there were staff in Africa, trucks to get to remote customers, manufacturers in China to liaise with . . . cuts in costs are being made, but the spending requirements went beyond travel expenses to conferences and graphic design.

As Mr Goodwin recounts: “The view was that we would be able to increase prices over time, which did not turn out to be the case. The second issue is that sales volumes have been affected by the pressure from new competitors.” Also, Mobisol’s markets have lately been subject to ruinous droughts and the economic effects of commodity price declines. Customers who thought they could pay were broke. And while Mobisol can cut off service for non-payment, how do you repossess the equipment when that happens? Impact investors should ask the difficult questions throughout the development process. They should also try to avoid being seduced by coolness and virtue-signalling.

Ila Founder wao made it sababu alikuja na idea akapata funds akafanya kwa muda wake mwisho wa siku ameuza na anaendelea na mengine....
 
Kitu kizito kama kipi,lile ni suala la mkopo, labda uniambie mkopaji gani aliyewahi kufungwa Jela kwa kushindwa kulipa deni. Haiwezekani ukope Mtambo wa Tsh.2,500,000 kwa mfano,halafu ulipie kwa miaka mitatu mpaka deni libaki tsh.500,000,halafu usipolipia hiyo Laki Tano eti waje wakunyang'anye Mtambo wako bila kujali kwamba tayari ulishawalipa Tsh.Milioni Mbili,ni punguwani tu ndie atakayekubali ujinga huo. Mimi nilikuwa Area Manager kwenye Kampuni hiyo kwa miaka 6,nilikutana na Kesi nyingi ambazo kimsingi Kampuni ni kama ilikuwa inawaonea na kuwanyanyasa wakopeshwaji ambao ni Wananchi wa vijijini wasio na Elimu yoyote ya kisheria
Hiyo ni tatizo upande wa kampuni, mm nimeongelea jinai ya kuuza mtambo na kusema uliibiwa na kwenda kuwadanganya polisi wakupe loss report.
 
Hapana kuna kipindi nilitokea kumsoma huyu founder wao na hii Kampuni na Business Model yao...

Ila Founder wao made it sababu alikuja na idea akapata funds akafanya kwa muda wake mwisho wa siku ameuza na anaendelea na mengine....
Yes alishaondoka,na kwa sasa wamebaki wahuni tu wanajiendeshea Kampuni kama yao,kuna kidada kimoja cha HR kinaitwa Veronika Kahama,yaani tangu kije pale kinajifanya Kampuni kama ya Mmewe,na mbaya zaidi ni kimalaya na kimemuweka mfukoni Mkurugenzi Mkuu hivyo chenyewe ndio kimekuwa kama ki-MD ,kinachojua ni kufukuza wafanyakazi tu na kufuga nywele,mimi niliamua kuacha kazi mwaka juzi baada ya kutokuelewana nacho
 
hawana mishale wale matapeli nawafahamu A to Z,nimefanya nao kazi kwa miaka 6 nikiwa Area Manager kwenye mikoa mbalimbali hivyo nawafahamu nje ndani
Unajua tatizo si kampuni tu. Unapoamua kusema niliibiwa mtambo, ukadanganya polisi wakakupa loss report. Ikitokea siku kwa sababu yoyote ile kukawa na oparation serious ya kufuatilia matukio ya wizi wa mitambo ya sola, yule aliyenunua kutoka kwako akikamatwa tayari upo kwenye matatizo bila hata kuhusisha kampuni ya sola.

Sasa imagine kuna watu wawili, watatu wote wanasema walinunua kwako hapo ndipo kitu kizito kinapokushukia na kukiondoa kichwani lazima uingie mfukoni vizuri tu. Ndo maana nikasema kama una mbinu za kuhepa mishale sawa, pambana tu.
 
Hiyo ni tatizo upande wa kampuni, mm nimeongelea jinai ya kuuza mtambo na kusema uliibiwa na kwenda kuwadanganya polisi wakupe loss report.
Bro,naifahamu hiyo Kampuni A to Z,kwanza hata ukiuza Mtambo wao na usipoenda kuripoti Polisi still Kampuni kama Kampuni haina ujanja wala uwezo wa kukushtaki mahali popote,narudia tena haina uwezo wa kukushtaki mahali popote wala kukufanya kitu chochote,maana wakati wanakukopesha hakuna DHAMANA unayoweka mfano Kiwanja,Nyumba,Gari au kitu chochote. Dhamana yako wewe ni copy ya Kitambulisho chako na Pesa yako ya kianzio basi,hivyo hata ukiwaambia hujui Mtambo ulipo hawana cha kukufanya maana hata wakienda Polisi watagonga mwamba maana Polisi haihusiki na Kesi za Madai,na huko Mahakamani ndio kabisa hawanaga ujanja,ni zaidi ya USHUZI
 
Okey mkuu
 
Kesi ya kupeleka polisi hii

Kulalamika hapa iwe ni kutoa taarifa kwa umma lakini kutochukua hatua ni kukosa akili
Hapo Polisi watakusaidia nini? Kesi ya madai hiyo hawawezi kukusaidia
Wewe ndio unaekosa akili, na inaonekana huna hata experience na polisi wa Bongo
 
Unajua tatizo si kampuni tu. Unapoamua kusema niliibiwa mtambo, ukadanganya polisi wakakupa loss report. Ikitokea siku kwa sababu yoyote ile kukawa na oparation serious ya kufuatilia matukio ya wizi wa mitambo ya sola, yule aliyenunua kutoka kwako akikamatwa tayari upo kwenye matatizo bila hata kuhusisha kampuni ya sola.

Sasa imagine kuna watu wawili, watatu wote wanasema walinunua kwako hapo ndipo kitu kizito kinapokushukia na kukiondoa kichwani lazima uingie mfukoni vizuri tu. Ndo maana nikasema kama una mbinu za kuhepa mishale sawa, pambana tu.
Wameibiwa sana na hata mimi kuna sehemu nilikuwa nawaibia maana ni wazembe,kutokana na Kesi za Wizi kuwa nyingi kuna kipindi walimuajiri jamaa mmoja ambaye ni Ofisa wa Polisi au alikuwa Polisi au alikuwa kwenye mambo ya Systems haya maana alikuwa haelewekagi. Walimuajiri ili asaidie kwenye mambo ya hizi Kesi maana zilikuwa nyingi sana. At least huyo jamaa kwa kutumia uzoefu wake alikuwa anaweza akaja Mkoani,na kwa kutumia enfluence yake akaenda Polisi na kufungua Kesi kitu ambacho mimi kama Area Manager nilikuwa nikienda kuripoti nakataliwa mapokezi tu pale na Kesi haifunguliwi naambiwa Polisi hawahusiki na Kesi za Madai. Huyo jamaa kwa influence yake alikuwa anaonana na wakubwa kama ni OCD nk,anapewa Askari na kama ni kufanya operations anaenda nao nami nikiwepo,tunakamata na watuhumiwa wanawekwa Mahabusu kitu ambacho mimi nisingeweza,na huyo jamaa alikuwa anasimama nao mpaka Mahakamani,watuhumiwa wengine walikuwa wanaamua kuendelea kulipa ili tu Kesi isiendelee. Au ilikuwa naweza nikampigia simu kumtaarifu kwamba kuna Kesi hii na hii Mkoani kwangu,yeye ataniambia nenda Kituo cha Polisi kaonane na Mkuu wa Kituo au Mkuu wa Upelelezi kisha mwambie mimi naomba kuongea nae kwa simu. Nilikuwa nafanya hivyo na alikuwa akiongea nao tu nilikuwa napata msaada mkubwa sana kuhusu Kesi za kwenye eneo langu. Mara ya mwisho nilisikia huyo jamaa alisepa hafanyi tena na hiyo Kampuni maana kuna kipindi nadhani February mwaka huu nilionana nae Airport Dar anaondoka na KLM usiku mimi nilikuwa nimemsindikiza jamaa yangu nae alikuwa anasafiri na flight hiyohiyo,siku ya pili nikawauliza jamaa niliowaachaga Mobisol wakaniambia huyo jamaa alishaondokaga Mobisol. Hivyo nawafahamu hao jamaa nje ndani,ni wazembe sana na Wananchi wa vijijini wasio na Elimu yoyote huwa wanaonewa sana na hiyo Kampuni
 
Hahahah jua la Mungu ila binadamu tunatozana kodi ya matumizi ya jua ni uzwazwa. SOLAR ni kununua vifaa tu na kufunga imeisha hio
Wanacholipia watu ni gharama za hiyo Solar, wanalipa kwa installments ama ukitaka kulipa kwa mkupuo ni sawa tu
 
Wameibiwa sana na hata mimi kuna sehemu nilikuwa nawaibia maana ni wazembe,kutokana na Kesi za Wizi kuwa nyingi kuna kipindi walimuajiri jamaa mmoja ambaye ni Ofisa wa Polisi au alikuwa Polisi au alikuwa kwenye mambo ya Systems haya maana alikuwa haelewekagi. Walimuajiri ili asaidie kwenye mambo ya hizi Kesi maana zilikuwa nyingi sana. At least huyo jamaa kwa kutumia uzoefu wake alikuwa anaweza akaja Mkoani,na kwa kutumia enfluence yake akaenda Polisi na kufungua Kesi kitu ambacho mimi kama Area Manager nilikuwa nikienda kuripoti nakataliwa mapokezi tu pale na Kesi haifunguliwi naambiwa Polisi hawahusiki na Kesi za Madai. Huyo jamaa kwa influence yake alikuwa anaonana na wakubwa kama ni OCD nk,anapewa Askari na kama ni kufanya operations anaenda nao nami nikiwepo,tunakamata na watuhumiwa wanawekwa Mahabusu kitu ambacho mimi nisingeweza,na huyo jamaa alikuwa anasimama nao mpaka Mahakamani,watuhumiwa wengine walikuwa wanaamua kuendelea kulipa ili tu Kesi isiendelee. Au ilikuwa naweza nikampigia simu kumtaarifu kwamba kuna Kesi hii na hii Mkoani kwangu,yeye ataniambia nenda Kituo cha Polisi kaonane na Mkuu wa Kituo au Mkuu wa Upelelezi kisha mwambie mimi naomba kuongea nae kwa simu. Nilikuwa nafanya hivyo na alikuwa akiongea nao tu nilikuwa napata msaada mkubwa sana kuhusu Kesi za kwenye eneo langu. Mara ya mwisho nilisikia huyo jamaa alisepa hafanyi tena na hiyo Kampuni maana kuna kipindi nadhani February mwaka huu nilionana nae Airport Dar anaondoka na KLM usiku mimi nilikuwa nimemsindikiza jamaa yangu nae alikuwa anasafiri na flight hiyohiyo,siku ya pili nikawauliza jamaa niliowaachaga Mobisol wakaniambia huyo jamaa alishaondokaga Mobisol. Hivyo nawafahamu hao jamaa nje ndani,ni wazembe sana na Wananchi wa vijijini wasio na Elimu yoyote huwa wanaonewa sana na hiyo Kampuni
Okey mkuu. Tunapeana angalizo tu nothing more. Warnings zina umuhimu pia ili kuongeza umakini katika maamuzi.
 
Back
Top Bottom