Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

Kampuni ya Sola ya Mysol ni Majambazi, Wananchi iogopeni kama UKIMWI

Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika.

Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo.

Nikapiga simu na kupewa maelekezo yote niliyohitaji, nikalipia malipo ya awali ya Tsh. 285,000 kwa Mtambo wa Watt 200, baada ya siku 4 mafundi wao wakaja kunifungia tena kwa kuwalipia gharama za usafiri.

Cha kushangaza tangu wanifungie leo ni wiki ya nne Sola yao haiwaki, kila nikiwapigia simu wanasema wanakuja kurekebisha hawaji, mara waniambie watu wa Arusha ndio wataiwasha lakini kimya.

Nawashauri Watanzania wenzangu iepukeni na kuiogopa Kampuni hii ya Mysol kama mnavyouogopa Ugonjwa wa UKIMWI.

Nawasubiri waanze kufuatilia malipo yao ya mwezi niwaonyeshe kwa nini watoto huita maji MMA.
Pole kwa kupigwa. Wakati mwingine ingia dukani, tafuta fundi akakufungie. Achana na mambo ya mikopo.
 
Ulifikili mkuu kutangaziwa biashara kwenye tv ni ubora? Hiyo ni mind control, matangazo yote ni Mind control.
Mind control ni kuingiza wazo usilolitaka kichwani bila kutegemea
 
Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika.

Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo.

Nikapiga simu na kupewa maelekezo yote niliyohitaji, nikalipia malipo ya awali ya Tsh. 285,000 kwa Mtambo wa Watt 200, baada ya siku 4 mafundi wao wakaja kunifungia tena kwa kuwalipia gharama za usafiri.

Cha kushangaza tangu wanifungie leo ni wiki ya nne Sola yao haiwaki, kila nikiwapigia simu wanasema wanakuja kurekebisha hawaji, mara waniambie watu wa Arusha ndio wataiwasha lakini kimya.

Nawashauri Watanzania wenzangu iepukeni na kuiogopa Kampuni hii ya Mysol kama mnavyouogopa Ugonjwa wa UKIMWI.

Nawasubiri waanze kufuatilia malipo yao ya mwezi niwaonyeshe kwa nini watoto huita maji MMA.
Poa
 
Hapana kuna kipindi nilitokea kumsoma huyu founder wao na hii Kampuni na Business Model yao... Hii ni article kutoka financial times....

Mobisol: a cautionary tale for impact investors​

European company seen as the rock star of the solar energy industry files for insolvency

It is simply impossible to be cooler than Mobisol, the Berlin-based provider of battery-backed solar systems to homes and microenterprises in Africa. Everyone loves the picture of a village girl reading her books with a lamp powered by bright, clean electricity rather than smoky paraffin. That electricity is earning you profits, which is why you got into impact investing in the first place.

Then there has been the world-class quality of Mobisol’s presentations, from the wired-up founders on stage at international meetings to the perfectly produced videos and graphics. These expounded market prospects as big as Uber’s or Tesla’s (A billion people now! Four billion by the end of the century!) and German engineering, not only for rich BMW owners but for the rural poor! Prestigious co-investors such as the IFC, Investec, the Dutch state’s FMO and Finnfund have been there to give comfort in numbers and solidity.

Mobisol’s solar powersets proliferated by the tens of thousands in Kenya, Tanzania and Rwanda. And, of course, the Mobisol office is in the hip Berlin neighbourhood of Kreuzberg. Late workers among the dozens of young staff could take a 10 or 15-minute walk to edgy clubs such as SO36 and Madame Claude. You wish you could be them at that age. As one solar energy industry person says: “They were the rock stars of this industry.” At least they were until the beginning of this year, when Thomas Gottschalk, a founder, and Thomas Duveau, head of business development, left to start up Access to Energy Institute, a not-for-profit with an address in the same Kreuzberg building.*

Mobisol was in suspense until April 26, when the company filed for “insolvency in self-administration” with the Charlottenburg district court. Andrew Goodwin, a South African-born engineer, has been appointed by the investors and lenders as the new managing director, with support from Friedemann Schade, the “provisional administrator”, and the restructuring group of Dentons, the law firm.

Basically, Mobisol is in the German version of the US’s Chapter 11. This is actually a good thing. The company had been floating along for more than nine years with equity and debt injections from the development finance and impact investing communities. No balance sheet or income statements have been provided to the public but it appears that Mobisol had raised $80m-$90m, about two-thirds in the form of equity and one-third in debt. It will be useful for the impact investing community to get the lessons-learnt report from Mobisol’s crash.

The company’s business model has been based on a lease-to-own concept, with periodic payments made through mobile phones. An African farming family with limited cash could pay for their solar and battery system over three to four years. That sounded good; over the same time more might be spent on paraffin or extortionate fees to recharge mobile phones. But it was too good to be true. Mr Goodwin is still getting a grip on Mobisol’s restructuring, having only arrived in January. He says the real struggle Mobisol has “is not transparency or management but the economic metrics”. “First is affordability. You are sending a first world technology into the third world. The farmers (in Mobisol’s target markets) are earning one to one-and-a-half euros a day. That is very different to a Californian company putting a solar panel on a rooftop.”

The decline in solar panel and battery technology prices creates a problem for anyone financing the purchase of a system over several years. “You are continually faced with (ever) lower-cost imported products,” Mr Goodwin says. Mobisol was a pioneer in commercially addressing the solar market in Africa but now there is a host of competitors willing to lose money, at least for a while, on similar business models. Mobisol has attempted to compete by providing a warranty and service.

As Mr Goodwin says, though: “In the long run that is a better deal for the consumer but it places a tremendous strain on a company like Mobisol.” To an outsider, those 100 staffers in Kreuzberg (now down to about 60) might look a bit indulgent, but there were products to develop — perhaps too many — and a portfolio of 85,000 customers to administer. Then there were staff in Africa, trucks to get to remote customers, manufacturers in China to liaise with . . . cuts in costs are being made, but the spending requirements went beyond travel expenses to conferences and graphic design.

As Mr Goodwin recounts: “The view was that we would be able to increase prices over time, which did not turn out to be the case. The second issue is that sales volumes have been affected by the pressure from new competitors.” Also, Mobisol’s markets have lately been subject to ruinous droughts and the economic effects of commodity price declines. Customers who thought they could pay were broke. And while Mobisol can cut off service for non-payment, how do you repossess the equipment when that happens? Impact investors should ask the difficult questions throughout the development process. They should also try to avoid being seduced by coolness and virtue-signalling.

Ila Founder wao made it sababu alikuja na idea akapata funds akafanya kwa muda wake mwisho wa siku ameuza na anaendelea na mengine....
Business model ngumu sana kwa sababu africa watu sio waaminifu
 
Kuuchezea ni dakika 0 tu na hautasoma kwenye GPS tena,nitakupa Elimu ya jinsi ya kuuchezea badae kidogo maana naingia kikaoni ofisini
Gps zinakaa wapi...kwenye battery au solar pale...

Huku za barabaran wanaiba kweli nawaza wanapanda sa ngapi pale juu
 
Huyu hajazungumzia KUSUMBUA,kasema tangu afungiwe HAIJAWAHI kuwaka hivyo inaonekana ina HITILAFU!!Nilishafanya kazi na hiyo Kampuni kwa miaka 6 hivyo naifahamu A to Z na jinsi inavyowanyonya Wananchi
Labda kwa kuwa uliachana nao tena kwa ubaya unataka kuwaharibia kwa wateja, who knows!
 
Ukishafungiwa na Mafundi wao maana yake unakuwa unasoma kwenye GPS zao mahali ulipo,hivyo ukiung'oa kuna jinsi ya kuuchezea(kitaalam inaitwa TEMPARING),hivyo kuna jinsi ya kuu-temper zile nyaya zake na unakuwa hausomi tena kwenye GPS yao,au hata wakikufungia mpya nyumbani kwako,unaweza ukaamua ukau-temper hivyo ukaendelea kuutumia bila kulipia na kule kwao unakuwa hausomi hivyo hawana ujanja wa kuuzima wakiwa kwao,kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake
Mm ningebypass umeme niendlee tumia
 
MREJESHO BAADA YA KUTOA TAARIFA YA UTAPELI WA KAMPUNI YA SOLA YA MYSOL:
Kama nilivyoripoti asubuhi kuhusu kutapeliwa na Kampuni ya Sola ya MySol kwa kunifungia Sola ambayo haijafanya kazi(kuwaka)tangu walivyoifunga tarehe 27 Mei. Baada ya Mkubwa MBUZIMAWE99 kunipa ushauri wa kuing'oa na kuiuza nilifanya hivyo na hakika sijajutia. Niliifungua na kuja nayo Babati Mjini,nilimfuata fundi umeme mmoja wa mtaani ambaye aliifungua Betri na kuiunganisha Direct hivyo akawa ameichomoa ile GPS yao na hivyo Betri ikawa inafanya kazi bila GPS kusoma. Kuifungua na kuichokonoa ni zoezi lililodumu dakika 10 na nikampoza Fundi kwa Tsh.10,000. Nikaenda kuuza kifaa kimojakimoja kama ifuatavyo:
TV Flat Inch 43 nimeiuza Tsh.350,000
Battery nimeiuza Tsh.270,000
Panel nimeiuza Tsh.180,000
Nyaya za Wiring na Taa jumla Tsh.20,000
JUMLA KUU nimepata Tsh.820,000
Nikitoa 285,000 kwa 820,000 maana yake nina faida ya Tsh 535,000
ASANTE MKUBWA MBUZIMAWE99,nakuja PM unipe namba nikutumie walau 50,000 USAFISHE MOYO
Itabidi nikusanye vijana 10 maeneo tofautitofauti niwape deal hii,mimi nawapa Pesa kianzio wao wanafanya maombi,wakifungiwa tu naenda kung'oa Mtambo wangu wao nawapoza kwa Laki Moja Moja,hata nikipata faida ya Tsh Laki Nne kwa kila Mtambo maana yake ni kwamba sitakosa Milioni Nne kwa MITAMBO KUMI. Hakika Mjini mipango,naanza zoezi hilo mapema kesho
 
Waungwana, nina kibanda changu hapa Babati kipo nje ya Mji kidogo ambako umeme wa TANESCO/REA bado haujafika.

Nilipoona matangazo ya Kampuni ya Sola ya Mysol yenye Makao Makuu Arusha kwenye Television nikaona nifanye mchakato wa kupata Sola Moja ya Mkopo.

Nikapiga simu na kupewa maelekezo yote niliyohitaji, nikalipia malipo ya awali ya Tsh. 285,000 kwa Mtambo wa Watt 200, baada ya siku 4 mafundi wao wakaja kunifungia tena kwa kuwalipia gharama za usafiri.

Cha kushangaza tangu wanifungie leo ni wiki ya nne Sola yao haiwaki, kila nikiwapigia simu wanasema wanakuja kurekebisha hawaji, mara waniambie watu wa Arusha ndio wataiwasha lakini kimya.

Nawashauri Watanzania wenzangu iepukeni na kuiogopa Kampuni hii ya Mysol kama mnavyouogopa Ugonjwa wa UKIMWI.

Nawasubiri waanze kufuatilia malipo yao ya mwezi niwaonyeshe kwa nini watoto huita maji MMA.
Watanzania sielewagi tupoje..!! Watu wanapigwa kila kukicha na makampuni mbalimbali, lakini wapo tu..!! Nimekumbuka DECI jinsi watu walivyopigwa na baadaye waliendelea kupigwa na wanaofanana na DECI. Hata hawa yatakuwa hayo hayo tu
 
Tangu niliponusurika KUBAKWA na Mkurugenzi Mkuu wa hiyo Kampuni ya MySol Godfrey Mugambi ofisini kwake sina hamu nayo. Na Mkuu wa HR Veronika Kahama akishirikiana na kijana wa IT Dishoni Eseka wakatoa CCTV Camera ili kuficha Ushahidi sina hamu kabisa. Nami naungana na muanzisha huu Uzi NAWAONYA WATANZANIA WENZANGU KUKATAA NA KUOGOPA KUTUMIA BIDHAA ZA KAMPUNI HII KAMA WANAVYOUOGOPA UGONJWA WA UKIMWI,Ni Kampuni ya KIJINGA NA KIPUUZI iliyojaa WIZI na UNYONYAJI mkubwa kwa maskini,SHIME SHIME WATANZANIA ACHENI KUTUMIA BIDHAA ZA KAMPUNI HII YA SOLA YA MYSOL ILIYO NA MAKAO MAKUU VIWANJA VYA NANE NAME ARUSHA NI MAJIZI NA MATAPELI WAKUBWA,MSIBABAISHWE NA MATANGAZO YAO YA KWENYE TV ,TAFADHALINI IOGOPENI KAMA MNAVYOUOGOPA UGONJWA WA UKIMWI
 
Tuhadithie ilikuwaje
 
Pole Ndugu,nawafahamu hao Mysol na niliwahi kufanya nao kazi. Zamani walikuwa wanaitwa MOBISOL,baadaye wakabadili jina na kujiita ENGIE na sasa wanajiita MYSOL. Ni Kampuni ya WEZI tu na hakika ni MAJAMBAZI KWELIKWELI.

Wana Mkurugenzi Mkuu anaitwa Godfrey Mugambi ni Mkenya,ni zoba hatari.

Yaani ni Mkurugenzi Mkuu lakini anapelekeshwa na Mwanamke mmoja Head wa HR anaitwa Veronika Kahama hivyo Mkurugenzi Mkuu yupo kama picha tu.

USHAURI WANGU kwako MTOA MADA ni kwamba NG'OA HUO MTAMBO kauuze kisha nenda Polisi kafungue RB kwamba umeibiwa basi mchezo umeisha.

Kama walikuuzia ukiwa full kwa maana ya Panel,Betri,TV Inch 43 na vile Vitaa vyao basi NAKUSHAURI KAUUZE hutakosa Milioni Moja Na Laki Tano(1,500,000).Na hata ukiuza kifaa kimojakimoja hutakosa Tsh Milioni Moja hivyo bado utakuwa na faida nzuri tu.

NAKUHAKIKISHIA HAWANA UBAVU WA KUKUFANYA KITU CHOCHOTE IWE KUKUSHTAKI POLISI WALA MAHAKAMANI.

Bahati mbaya sipo huko lakini ningekuwepo huko ningekuja Babati kwa gharama zangu uniuzie mimi huo Mtambo na ningekupa Pesa cash.

Kikubwa ung'oe kauuze kisha nenda Polisi chukua RB kwamba umeibiwa na vibaka shughuli imeisha,HAWATAKUJA KUKUFANYA KITU CHOCHOTE NA HAWANA UBAVU HUO.

Na kama kuna Mteja mwingine yoyote humu wa hiyo Kampuni namshauri AUZE MTAMBO,achukue RB Polisi kisha anunue Sola za Bei nzuri mitaani kama SUNDAR nk.

Mtoa Mada njoo PM nikupe Elimu zaidi ya kuwakomesha hao Mbwa hata usiumize kichwa. Na kwa mtu mwingine yeyote anayetafuta Pesa humu usiumize kichwa.

Nenda kwa haohao Mysol,kopa Sola yao kwa kulipa kianzio kutegemea na ukubwa wa Sola(Watt 200 ni Tsh.285,000)(Watt 120 ni Tsh.185,000) na (Watt 80 ni Tsh 150,000)kama sikosei,kisha wakishakufungia leo,wewe kesho ung'oe kauuze huko hukosi Pesa,halafu wakija waambie ULIIBIWA NA VIBAKA na unawaonyesha RB biashara inakuwa imeisha hiyo.
Mkuu Sio risk LAKINI!!!?
 
Wewe utakuwaa ulikuwa mwajiriwa waoo

Wakakufanya kitu mbayaa tulia broo

Sio kilamtu ana roho ya unyang'anyi kama wewe

Mind you Kama una negativity mindset do not trying insert to other.

Stop this

Advice people for goodeness.
 
Nilifuata Ushauri huu nikauza Sola yao mwezi wa Tano na nikapata faida nzuri tu,hii Kampuni ya ENGIE Mysol ni MAJIZI sana na matapeli, nimekuwa nahamasisha wanakijiji wenzangu kung'oa na kuuza mitambo yao WEZI hawa,wiki iliyopita walikuja Maofisa wao wanne tukawakimbiza na mapanga wakakimbia,hatutaki hata kuwaona kijijini kwetu matapeli na majizi hawa
 
Back
Top Bottom