Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

thanks very much for terms references πŸ‘Š

haki huenda sambamba na kuwajibika πŸ’
 
Mbona matumizi ni mengi mkuu mbali na kuweka vocha. Na naitumia mara nyingi tu
Sasa unatumia vipi bila kuweka vocha.
Au tukupe kesi ya kuikosesha mapato company mana hapo ni sawa ukae kwenye bus kwenye kiti kabisa na hujalipa nauli na chini wapo abiria wenye pesa mkononi
 
Sasa unatumia vipi bila kuweka vocha.
Au tukupe kesi ya kuikosesha mapato company mana hapo ni sawa ukae kwenye bus kwenye kiti kabisa na hujalipa nauli na chini wapo abiria wenye pesa mkononi
Nna wadau wengi tu Huwa wananipigia, tofauti na namba za kifamilia, na pia natumia huduma zao kama vile Tigo Pesa, Tigo Bima n.k
 
Na kwann unamiliki line zaidi ya 2 km huwezi kuzitumia
Izo ni tabia za kitapeli na njia rahisi ya kupapambana na watapeli ni kuhakikisha line zote zko active na zna salio

why unamiliki lini nying ad zinakushinda kuhudumia
 
Ya MKOPO ama ??wengine atujatiwa hizi
 
mboma mbona mwamba amesema anawekaga salio kupitia tigo pesa na tigo rusha ila wao wanataka akwangue voucher nilichogundua wengi mnasomaga title tu halafu mnakoment
 
Na kwann unamiliki line zaidi ya 2 km huwezi kuzitumia
Izo ni tabia za kitapeli na njia rahisi ya kupapambana na watapeli ni kuhakikisha line zote zko active na zna salio

why unamiliki lini nying ad zinakushinda kuhudumia
Wapi nimesema situmii au siwezi kutumia?
Me nimesema situmii kupigia watu or kutuma sms, na inshort mpka napata ujumbe line Ina Salio.
Alafu matumizi ya line sio lazma kupiga/kutuma sms, kumbuka huduma ni nyingi
 
Tigo kuna wakati hata kutuma pesa inakuwa changamoto sana
 
Airtel walichukua namba yangu hivi hivi we endekea kukaza shingo kama hizo network wameweka tu ilo mmiliki laini bila kutumia
Airtel ikiwa dormant, sio uncredited
Na line ikiwa dormant mitandao mingi hufunga na kugawa namba
 
Umetukana watu nyani wa imoj ikithani hutaeleweka bila shaka una light skins so una than upo juu kuliko wengneπŸ¦“
 
mboma
mbona mwamba amesema anawekaga salio kupitia tigo pesa na tigo rusha ila wao wanataka akwangue voucher nilichogundua wengi mnasomaga title tu halafu mnakoment
actually mimi ninayo lini hapa ya kazi ya mtandao fulani, natumai sana kwenye internet na huwa naiacha nyumbani juzi nimejaribu kutumia kumpigia mtu naambiwa salio halitoshi na ina 889, nikasema sio kesi mbona pesa ninayo kwenye lini hiii nikaongeza salia la elfu5, sikujiunga kifurushi stili napiga simu naambiwa salio halitoshi kupiga simu πŸ’

nikagundua wanapushi zaidi watu kutumia vocha za kukangua coz kutumia miamala, wateja wananunua mno vocha na vifurushi naturally kuliko za kukangua ambapo mauzo yake kwasasa yapo chini sana πŸ’

so,
kumbe pia unaweza kua unafanya transaction kibao na still utahitajika kurecharge line yako otherwise kuna siku itasitishwa for few hrs utalazimika kuwapigia na watakwambia namna ya kuricharge na watakua wamekushika tu vizuri watakwambia weka jero tu πŸ’
 
Umetukana watu nyani wa imoj ikithani hutaeleweka bila shaka una light skins so una than upo juu kuliko wengneπŸ¦“
kwan kuna tatizo mkuu πŸ’
wacha uoga basi kwa kinyani...

wanafamilia wa JF sote si tupo sawa tu, na sote tuko free kutoa maoni na mtazamo yetu kuhusu mambo mbalimbali πŸ’

mambo ya juu na chini tena ya nini humu 😳
 
Weka salio, mda wa kulalamika unao wa kuweka hata buku tu huna
 
Kwani umeshikiwa panga mkuu? Acha waifunge then ukawakamue fidia mpunga wa kutosha.
 
We wakope halafu tulia
 
Wapuuzi tu , wameona watanzania hawatumii sms wala muda wa maongezi kama zamani ,internet bundles Ndio zinatumika zaidi na ,watu wamegundua njia za kubypass kununua bundles za internet ,Kuna free vpns kibao ,mimi ni mwaka sasa sijaweka muda wa maongezi kwenye line yoyote , huwezi amini
VPN hoyeee
 
Kwanza muda wenyewe wa maongezi ni nani aliwapa madaraka ya kuweka expiry date kwenye muda wa maongezi ,sms au bundle za internet ?,
Yaani mimi ninunue muda wa maongezi ,mpuuzi mmoja uniwrkee limit niwe nimetumia ndani ya muda gani ?, Hiyo ni akili au matope ?
Kama sio utapeli ni nini ?
Wakome kabisa
Uhuni wanaofanya kwenye hizo packages zao watu wamechoka
 
Kawaida baadhi ya mitandao wanazuia matumizi bila kifurushi, so ni mpaka uruhusu, unaweza kuwa na Salio la kawaida lakini ukipiga simu hazitokinor kutuma txt na kuperuzi,
Hii husaidia hata kama unakuwa online bundle likiisha Salio la kawaida halitumiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…