Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

Usipoitumia laini kwa muda flani ni kweli wanaweza kuifungia, na mara nyingi ni kama endapo huiweki kabisa hewana ikawa dormant for more than 3 months+

Hii hata kisheria ni sahihi kwasabu wameweka kwenye terma zao hapa nanukuu 👇👇👇👇

The CUSTOMER shall not be entitled or have a right to any specific mobile phone number(s) and MIC reserves the right with justifiable reasons to offer, withdraw and change such mobile phone number(s) as may be allocated upon giving adequate notice to the CUSTOMER.

na hapa

That the CUSTOMER shall at all times be responsible and accountable to MIC for the proper use and preservation of the SIM card and the PIN code. In the event the CUSTOMER continuously neglects to use the SIM card or the number provided for a period of 90 days MIC may suspend the number and re-allocate the number for use by any other CUSTOMER.

Hii Sasa ndio haipo kisheria, na ni janja janja za kijinga, na uhuni.
thanks very much for terms references 👊

haki huenda sambamba na kuwajibika 🐒
 
Sasa unatumia vipi bila kuweka vocha.
Au tukupe kesi ya kuikosesha mapato company mana hapo ni sawa ukae kwenye bus kwenye kiti kabisa na hujalipa nauli na chini wapo abiria wenye pesa mkononi
Nna wadau wengi tu Huwa wananipigia, tofauti na namba za kifamilia, na pia natumia huduma zao kama vile Tigo Pesa, Tigo Bima n.k
 
Na kwann unamiliki line zaidi ya 2 km huwezi kuzitumia
Izo ni tabia za kitapeli na njia rahisi ya kupapambana na watapeli ni kuhakikisha line zote zko active na zna salio

why unamiliki lini nying ad zinakushinda kuhudumia
 
Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo.

Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5.

Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu kwasabu sijaweka Salio muda mrefu, na kawaida Huwa naweka kupitia tigopesa na hata ninavyopokea ujumbe wao namba yangu Ina Salio. Na kawaida muda mwingi namba inakuwa hewani Sasa wanasema watanifungia, na hakuna lolote zaidi ya ubabe wakijinga kwenye soko,

Huwezi kumfungia mtu namba kama account ya benki, kwanini mteja alazimishwe kuweka Salio hata kama ni kweli haweki, Tigo umekuwa mtandao wa hovyo sana.
Ya MKOPO ama ??wengine atujatiwa hizi
 
mboma
kila mfanya kazi pale kwenye hiyo kampuni uloitaja na zile zingine ambazo hujazitaja amepewa target ya activation kwa dormant accounts mathalani hiyo ya kwako na wengine ambao hawajaricharge line zao kwa kipindi fulani kirefu mathalani miezi4, 3 au 3....

meseji kama hizo ni hatua za kampuni kupushi kazi ngumu sana ya wafanyakazi wao kupambana na wateja ambao wengine ni wanishi na wanatukana mbaya sana 🐒

these companies needs money,na hiyo ni Miongoni mwa namna zao za kugenarate income ili wakuboreshee wew huduma ya mawasiliano 🐒
mbona mwamba amesema anawekaga salio kupitia tigo pesa na tigo rusha ila wao wanataka akwangue voucher nilichogundua wengi mnasomaga title tu halafu mnakoment
 
Na kwann unamiliki line zaidi ya 2 km huwezi kuzitumia
Izo ni tabia za kitapeli na njia rahisi ya kupapambana na watapeli ni kuhakikisha line zote zko active na zna salio

why unamiliki lini nying ad zinakushinda kuhudumia
Wapi nimesema situmii au siwezi kutumia?
Me nimesema situmii kupigia watu or kutuma sms, na inshort mpka napata ujumbe line Ina Salio.
Alafu matumizi ya line sio lazma kupiga/kutuma sms, kumbuka huduma ni nyingi
 
Tigo niliacha kutumia kwa sababu zifuatazo

1. Network yao ni shida sana hasa upande wa internet

2. mara nyingi kuna changamoto kwenye meseji mtu anaweza kuambia nimekutumia meseji hujaona, kumbe meseji yenyewe haujapata unaingia kwenye lawama

Tangu nimehamia Airtel mambo ni mswano. Laini ya tigo ninayo na walishanitumia meseji ya kufungiwa hata wakifunga sina presha Airtel yupo
Tigo kuna wakati hata kutuma pesa inakuwa changamoto sana
 
Airtel walichukua namba yangu hivi hivi we endekea kukaza shingo kama hizo network wameweka tu ilo mmiliki laini bila kutumia
Airtel ikiwa dormant, sio uncredited
Na line ikiwa dormant mitandao mingi hufunga na kugawa namba
 
kila mfanya kazi pale kwenye hiyo kampuni uloitaja na zile zingine ambazo hujazitaja amepewa target ya activation kwa dormant accounts mathalani hiyo ya kwako na wengine ambao hawajaricharge line zao kwa kipindi fulani kirefu mathalani miezi4, 3 au 3....

meseji kama hizo ni hatua za kampuni kupushi kazi ngumu sana ya wafanyakazi wao kupambana na wateja ambao wengine ni wanishi na wanatukana mbaya sana 🐒

these companies needs money,na hiyo ni Miongoni mwa namna zao za kugenarate income ili wakuboreshee wew huduma ya mawasiliano 🐒
Umetukana watu nyani wa imoj ikithani hutaeleweka bila shaka una light skins so una than upo juu kuliko wengne🦓
 
mboma
mbona mwamba amesema anawekaga salio kupitia tigo pesa na tigo rusha ila wao wanataka akwangue voucher nilichogundua wengi mnasomaga title tu halafu mnakoment
actually mimi ninayo lini hapa ya kazi ya mtandao fulani, natumai sana kwenye internet na huwa naiacha nyumbani juzi nimejaribu kutumia kumpigia mtu naambiwa salio halitoshi na ina 889, nikasema sio kesi mbona pesa ninayo kwenye lini hiii nikaongeza salia la elfu5, sikujiunga kifurushi stili napiga simu naambiwa salio halitoshi kupiga simu 🐒

nikagundua wanapushi zaidi watu kutumia vocha za kukangua coz kutumia miamala, wateja wananunua mno vocha na vifurushi naturally kuliko za kukangua ambapo mauzo yake kwasasa yapo chini sana 🐒

so,
kumbe pia unaweza kua unafanya transaction kibao na still utahitajika kurecharge line yako otherwise kuna siku itasitishwa for few hrs utalazimika kuwapigia na watakwambia namna ya kuricharge na watakua wamekushika tu vizuri watakwambia weka jero tu 🐒
 
Umetukana watu nyani wa imoj ikithani hutaeleweka bila shaka una light skins so una than upo juu kuliko wengne🦓
kwan kuna tatizo mkuu 🐒
wacha uoga basi kwa kinyani...

wanafamilia wa JF sote si tupo sawa tu, na sote tuko free kutoa maoni na mtazamo yetu kuhusu mambo mbalimbali 🐒

mambo ya juu na chini tena ya nini humu 😳
 
Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo.

Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5.

Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu kwasabu sijaweka Salio muda mrefu, na kawaida Huwa naweka kupitia tigopesa na hata ninavyopokea ujumbe wao namba yangu Ina Salio. Na kawaida muda mwingi namba inakuwa hewani Sasa wanasema watanifungia, na hakuna lolote zaidi ya ubabe wakijinga kwenye soko,

Huwezi kumfungia mtu namba kama account ya benki, kwanini mteja alazimishwe kuweka Salio hata kama ni kweli haweki, Tigo umekuwa mtandao wa hovyo sana.
Weka salio, mda wa kulalamika unao wa kuweka hata buku tu huna
 
Kwani umeshikiwa panga mkuu? Acha waifunge then ukawakamue fidia mpunga wa kutosha.
 
Ni jambo la kushangaza kidogo, kwasabu ni jambo ambalo halipo kisheria, hata katika makubaliano wakati unasajili laini laini za Tigo.

Hii Leo nimepokea ujumbe unaonilazimisha kuweka Salio ndani ya siku tatu, ikiwa Leo ni tarehe 2 mwisho tarehe 5.

Na naambiwa laini yangu itafungiwa kupiga simu kwasabu sijaweka Salio muda mrefu, na kawaida Huwa naweka kupitia tigopesa na hata ninavyopokea ujumbe wao namba yangu Ina Salio. Na kawaida muda mwingi namba inakuwa hewani Sasa wanasema watanifungia, na hakuna lolote zaidi ya ubabe wakijinga kwenye soko,

Huwezi kumfungia mtu namba kama account ya benki, kwanini mteja alazimishwe kuweka Salio hata kama ni kweli haweki, Tigo umekuwa mtandao wa hovyo sana.
We wakope halafu tulia
 
Wapuuzi tu , wameona watanzania hawatumii sms wala muda wa maongezi kama zamani ,internet bundles Ndio zinatumika zaidi na ,watu wamegundua njia za kubypass kununua bundles za internet ,Kuna free vpns kibao ,mimi ni mwaka sasa sijaweka muda wa maongezi kwenye line yoyote , huwezi amini
VPN hoyeee
 
Kwanza muda wenyewe wa maongezi ni nani aliwapa madaraka ya kuweka expiry date kwenye muda wa maongezi ,sms au bundle za internet ?,
Yaani mimi ninunue muda wa maongezi ,mpuuzi mmoja uniwrkee limit niwe nimetumia ndani ya muda gani ?, Hiyo ni akili au matope ?
Kama sio utapeli ni nini ?
Wakome kabisa
Uhuni wanaofanya kwenye hizo packages zao watu wamechoka
 
actually mimi ninayo lini hapa ya kazi ya mtandao fulani, natumai sana kwenye internet na huwa naiacha nyumbani juzi nimejaribu kutumia kumpigia mtu naambiwa salio halitoshi na ina 889, nikasema sio kesi mbona pesa ninayo kwenye lini hiii nikaongeza salia la elfu5, sikujiunga kifurushi stili napiga simu naambiwa salio halitoshi kupiga simu 🐒

nikagundua wanapushi zaidi watu kutumia vocha za kukangua coz kutumia miamala, wateja wananunua mno vocha na vifurushi naturally kuliko za kukangua ambapo mauzo yake kwasasa yapo chini sana 🐒

so,
kumbe pia unaweza kua unafanya transaction kibao na still utahitajika kurecharge line yako otherwise kuna siku itasitishwa for few hrs utalazimika kuwapigia na watakwambia namna ya kuricharge na watakua wamekushika tu vizuri watakwambia weka jero tu 🐒
Kawaida baadhi ya mitandao wanazuia matumizi bila kifurushi, so ni mpaka uruhusu, unaweza kuwa na Salio la kawaida lakini ukipiga simu hazitokinor kutuma txt na kuperuzi,
Hii husaidia hata kama unakuwa online bundle likiisha Salio la kawaida halitumiki.
 
Back
Top Bottom