Kwa elimu yetu ilivyo Tanzania na jinsi nnavyomuona anapoongea kwa mikogo, hilo silishangai. He is more of an actor rather than academic.
N this is were it all began.Ukamatwaji wa mali kuendelea, mikataba ilisainiwa na wanachama wa ndiyoooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nyingine ambayo ilikuwa inafanya exploration ya nickel kwa muda mrefu tu nchini.Daah kama ni kweli ina maana hii ni kampuni nyingine tena!!?
Daah kama ni kweli ina maana hii ni kampuni nyingine tena!!?
Si rahisi waimba mapambio kupunguza mapambio, kwani kwa sasa TZ sifa na kigezo mhimu sana ili uteuliwe na Mtenguzi na Mteuzi kuimba mapambio.Naamini waimba mapambio sasa nao wameanza kuelewa na kujua hali halisi. Kila siku zinavyosonga na mapambio yanazidi kupungua.
Tutembee kifua mbereeeeeeeeeeeeee!Hahaha haya majini yametoka wapi tena, Winshear, leo Indiana, kesho sijui itakuwa nini. Anyway tumeshakuwa "Dona Kantre" who cares, tutawalipa tu.
Kama kawaida yetu tuanze na zomea zomea ambayo haisaidii maisha yetu na ugumu wake. Muhimu tusikilize na kufahamishwa udhaifu uko wapi! Kinachofahamika ni upigaji wa awamu zilizopita bila kujali nini kinapatikana kwa wa-TZ wengine.
Kulikuwa na upuuzi kwa nchi za afrika ambao unarudiwa kwenye barua ya huyo mtu wa kampuni. Eti, foreign investment. Nchi gani imeendelea kutokana na kulegeza ili foreign investment ziingie? Foreign investment hufuata palipo pazuri basi! Sasa kama wao wanaona mazingira ni mabaya. waombe chao waondoke. Lakini nikionacho wanahangaika ili wabaki nchini kwa nguvu ya kisheria ya investments. Wabaki halafu tuwaone wataishije na usalama wao.
Juzi ilikuwa Winshear ya Canada Leo tena hawa, sifahamu kesho atakuwa nani?
Labda Palamagamba aliliona hili alipokuwa anabadili mikataba na akaona gharama za hizi kesi ni ndogo kuliko faida ya kubadili mikataba.