Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

Toa mfano mmoja tu wa dictatorship unayoiona

Kunajisi chaguzi za nchi hii kwa baraka zake. Kuingilia shughuli halali za vyama vya siasa kinyume kabisa na katiba ya nchi. Niongeze ama niache?
 
Hakimu Mfawidhi,
JAMANI HIZI CASES NINYI MNAZIPATA WAPI? MIE NIMEZITAFUTA ATA KWENYE GOOGLE LAKINI NAZIKOSA NAKUJA KUZIPATA BAADA YA YALE MADUBWASHA YAMESHAKAMATWA KULE CANADA
 
Takataka zingine usibishane nazo
Haya ndio matatizo ya kutokutumia akili na elimu ndogo. Nchi zote Duniani zinalilia uwekezaji wewe unasema hakuna nchi inaendelea sababu ya uwekezaji, una akili kweli? China imeendelea kwa kuuza korosho? Au unadhani Tanzania tunaweza kuendelea kwa kuuza utumbo wa kuku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida yetu tuanze na zomea zomea ambayo haisaidii maisha yetu na ugumu wake. Muhimu tusikilize na kufahamishwa udhaifu uko wapi! Kinachofahamika ni upigaji wa awamu zilizopita bila kujali nini kinapatikana kwa wa-TZ wengine.

Kulikuwa na upuuzi kwa nchi za afrika ambao unarudiwa kwenye barua ya huyo mtu wa kampuni. Eti, foreign investment. Nchi gani imeendelea kutokana na kulegeza ili foreign investment ziingie? Foreign investment hufuata palipo pazuri basi! Sasa kama wao wanaona mazingira ni mabaya. waombe chao waondoke. Lakini nikionacho wanahangaika ili wabaki nchini kwa nguvu ya kisheria ya investments. Wabaki halafu tuwaone wataishije na usalama wao.
Ndio wanadai as hicho chso
 
Umeapishwa kwa katiba na sheria hizo hizo, lakini baada ya kuapishwa unaanza kuzipuuza, hutufai kabisa
Hata hiyo sheria aliyoapishwa kwayo anaweza kuifuta au kuikiuka wakati wowote kwa vile haimhusu tena. Si alishaapishwa, sheria ya nini tena!
 
Mimi nadhani kama nchi tumekwishaingia kichakani, lililopo ni kutafuta njia ya kutoka huko.

Tusipoweka tahadhari na kuelewa haya yanayoendelea, tutajikuta ndio tunaingia kwenye msitu wenyewe na sio kichaka tena.
Maana yangu hapa ni hii; hizi kesi zinazoibuka sasa hivi ndizo zinazoweza kuvuruga hata uongozi tutakaotaka tuwe nao baada ya uchaguzi mkuu ujao kwa pande zote mbili, kwa ubaya au kwa uzuri.

Ni rahisi sana kwa Magufuli kuzitumia kesi hizi na kuwahadaa wananchi aendelee kubaki madarakani, kwa huruma za wananchi, au kwa ujinga wao wa kutoelewa mambo yalivyo.

Sijui kama upinzani wanao uwezo wa kuzitumia kesi hizi kuonyesha ubovu alioufanya Magufuli, na wananchi hao wakawa na upeo wa kuelewa wanayoelezwa na kumwadhibu aliyevuruga mambo.

Swali ni je, wapinzani wakichukua uongozi wa nchi, watazifuta hizo sheria zinazolalamikiwa na hao wawekezaji? Watakuwa na ujasiri wa kuwaeleza wananchi juu ya hilo?

Pendekezo ambalo naweza kulitoa kuhusu kesi hizi - ili tusiendelee kuzongwazongwa na hawa wawekezaji, tukubali kwenda kwenye usuluhishi, na huko ndiko tutafute njia za kuwabana hawa.

Mengi ya makampuni haya hayajagundua chochote. Hayachimbi madini sehemu yoyote hapa nchini. Mikataba hii ina masharti yake na ukomo wake. Tuyaangalie masharti hayo na tujikite huko katika kuwabana wasituletee rabsha na kutupa sifa mbaya kama taifa zima.
 
Kunajisi chaguzi za nchi hii kwa baraka zake. Kuingilia shughuli halali za vyama vya siasa kinyume kabisa na katiba ya nchi. Niongeze ama niache?
Una mihemuko ninayoisikia kwa akina Halima Mdee. Wewe ni halima, labda?
 
Huna uwezo wa kupima brain ya Kabudi, uwezo ulionao ni kutoa maoni kwa mihemuko kupoza mkwamo ulio nao.
Wewe kama huna akili usijilinganishe na watu wengine. Kwa akilibyako ndogo unadhani unahitaji kua genius kupima akili ya mtu alietolewa jalalani? Mtu alietoka jalalani hata ukiwa na akili ndogo kama yako unajua kabisa huyu ni mchafu lakini pia ana njaa, mbele ya njaa hakuna akili. Sasa huyo kabudi wako alietoka jalalani unadhani ana tofauti yoyote na wasio na akili wenzio?
 
Hahaha haya majini yametoka wapi tena, Winshear, leo Indiana, kesho sijui itakuwa nini. Anyway tumeshakuwa "Dona Kantre" who cares, tutawalipa tu.
Hao wanaotaka kuitangaza Nchi yao vibaya wakiwa wakimbizi katika nchi za watu na ombaomba wataisoma namba,watafukuzwa hata uongozi wengine wamepewa huku ni wakimbizi
 
Wewe kama huna akili usijilinganishe na watu wengine. Kwa akilibyako ndogo unadhani unahitaji kua genius kupima akili ya mtu alietolewa jalalani? Mtu alietoka jalalani hata ukiwa na akili ndogo kama yako unajua kabisa huyu ni mchafu lakini pia ana njaa, mbele ya njaa hakuna akili. Sasa huyo kabudi wako alietoka jalalani unadhani ana tofauti yoyote na wasio na akili wenzio?
Acha upoyoyo,ukimjua mwenzio kichaa wewe ni kichaa kiongozi wa vichaa,kama hawana akili yaani wewe ndio mbumbumbu namba moja
 
Wewe kama huna akili usijilinganishe na watu wengine. Kwa akilibyako ndogo unadhani unahitaji kua genius kupima akili ya mtu alietolewa jalalani? Mtu alietoka jalalani hata ukiwa na akili ndogo kama yako unajua kabisa huyu ni mchafu lakini pia ana njaa, mbele ya njaa hakuna akili. Sasa huyo kabudi wako alietoka jalalani unadhani ana tofauti yoyote na wasio na akili wenzio?
Kama unahitaji Urais umepata,tuone huko kulala majalalani vip,jalalani ulimuona vipi kama hamkuwa wote mnaokotaokota?
 
Back
Top Bottom