Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

Unaogopa kushitakiwa siyo ?Pole sana, hao waingereza mpaka wamefika hapo kiuchumi wamepitia misukosuko mingi. tuko tayari kwa hizo kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nimekuelewa Uko vizuri kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka Serikali itangaze kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nae ndio hujui kitu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheria inayozuia kushitaki nje ya Tanzania ni sheria mpya ya madini, mkulima anadai haki yake akiyopokwa. Ni vitu viwili tofauti
P
Nadhani tuko salama pamoja na rasilimali zetu.Mapungufu yatawekwa mezani na sharing of risks and rewards among parties to contract itapatikana.Miezi sita itatoa ufumbuzi. Kikubwa zaidi na vizuri ni uthubuti wa kusema Hapana hata kama tumewaudhi uwekezaji lakini tumesema. Wasukuma wana usemi wao kwamba Acha kusema hata kama tutalala usingizi tukiwa tumesimama tayari tumesema.
Asante Paskali kwa ufafanuzi
 
Hahahahah! Maisha yamekaba? Maana kwa povu hilo ni hatari! Pambana utoke kwenye mkwamo la sivyo utaishi maisha ya usononi mpaka mwisho.
 
Mawakili wetu kama nawaona vile... Wanapiga jalamba mkao wa kula na kwenda kusafisha macho ughaibuni... Hakimu Mfawidhi,

Jr[emoji769]
Nimekuja kugundua kitu Hawa mawakili wanajua vizuri Sana kinachoendelea unajua kwanini hawataki kumshauri magufuli kweli wakati athali wanaziona kwasababu wanataka wampige hell tu
 
Endeleeni kujidanganya na kuamini uongo mnaojitungia wenyewe.
Btw; umesikia habari ya kiwanda cha tiles kusimamisha uzalishaji kwa kuwa wameshindwa kuuza wanachozalisha? Kuinuka kwa uchumi my foot.
Mkuu nipe link ya hiyo habari humu jamii forums
 
Wewe umesoma sheria! Mikataba nayo umeisoma?

Jaribu kufikiri vizuri mkuu. Kwenye mahakama za kimataifa havipelekwi hivi vijisheria vyenu bali ni mikataba mliyosaini. Think big


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Waje kuchimba hayo madini. Wanachosubiri mini? Mpaka wanyang'a ywe maeneo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…