Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

Hii kampuni baadhi ya wafanyakazi wake kutoka huko Uturuki, wana mambo ya kishenzi na kikatili sana nyuma ya pazia! Na hasa kwa watoto wetu wadogo wa kike, tena ambao bado ni wanafunzi.

Ni basi tu nchi yetu ina kawaida ya kuwalea na kuwafumbia macho wahalifu kutoka nje. Kungekuwepo na intelijensia ya kueleweka, mpaka muda huu Waturuki wengi wangekuwa wameshahukumiwa jela kwa makosa ya ubakaji, ulawiti na udhalilishaji.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo makandarasi wa Kitanzania kwa kuwacheleweshea malipo yao.

Raia huyo wa Uturuki pia anatuhumiwa kuingilia siasa za ndani za Tanzania kwa kutoa rushwa kwa Wabunge mbalimbali kukwamisha miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia michango yao Bungeni.Bunge la Tanzania linatarajiwa kutoa taarifa baada ya uchunguzi huku baadhi ya Wabunge wakitaka raia huyo wa Uturuki kuondolewa nchini mara moja.

Mbali na tuhuma hizo kampuni hiyo pia inatajwa kuendelea kuipa Tanzania hasara ya mabilioni kutokana na ujenzi wa chini ya viwango katika baadhi ya maeneo.Eneo mojawapo ni kipande cha daraja la Nkurumah eneo la Kamata jijini Dar es Salaam ambapo kampuni hiyo iliamuriwa kuvunja na kuanza ujenzi upya baada ya kuonekana liko chini ya kiwango ikiwemo muonekana wa wazi wa nyufa kama inavyoonekana pichani!.

Katika baadhi ya maeneo ya mradi huo usanifu umekiuka angalizo kwenye njia za maji na kuzifunga jambo ambalo linahatarisha usalama wa matumizi ya mradi huo pale utakapokamilika.Athari za jambo hili zinaelezwa kuwa zitailetea nchi maafa makubwa zaidi kama ajali na hasara za ukarabati wa mabilioni pale ambapo mradi huo utakamilika.

Katika tuhumu hizo imeelezwa kwamba serikali imeunda timu ya uchunguzi huku timu nyingine ya siri ikihakiki shughuli na rushwa katika mradi huo kabla ya kutoa ripoti rasmi.

View attachment 2313893
Raia wanje hawezi kufanya mambo yote hayo bila ya kuwa na mwenyeji wake hapa nchini.
Na panapofuka moshi kuna moto.
Uturuki wanajuikana kwa uanaharakati wa chinichini.

Vile vile si rahisi kumlaumu mkandarasi wakati wasimamizi wa mradi wapo hapo hapo kazini.
Kama wanasiasa wamehongwa kunyamazishwa basi hili nalo lichunguzwe.
 
Halafu anaitupia mzigo serikali ya jpm utadhani hakuwa ndani ya serikali hiyo. Madam president amekuwa mlalamishi kuliko hata sisi wananchi. So pathetic.
Kwani hamkumbuki JPM alisema kwa mdomo wake kuwa hashauriki?
Na kwamba maamuzi ni ya kwake tu.
Mnashau kuwa huu mradi uliasisiwa na JPM, tena kwa msukumo wake-Reli kwenda karibu na kwao.
 
Huko uarabuni hakuna mito, milima na misitu.

..hakuna ujenzi usiokuwa na changamoto.

..mkandarasi hukagua changamoto zote ikiwemo mito, milima, etc na kuzijumuisha ktk gharama za ujenzi na makadirio ya myda wa kukamilisha mradi.
 
..hakuna ujenzi usiokuwa na changamoto.

..mkandarasi hukagua changamoto zote ikiwemo mito, milima, etc na kuzijumuisha ktk gharama za ujenzi na makadirio ya myda wa kukamilisha mradi.
Ujenzi wa miradi Tanzania una changamoto nyingi sana zinazogubikwa na siasa, mjenzi hujikuta anajenga huku amezungurukwa na makazi holela na wafanyabiashara ambao hawako tayari kuupisha ujenzi wa mradi, serikali huwa haiko tayari kuwaondoa wananchi kwenye eneo la ujenzi badala yake inamuachia mjenzi awaondoe! Tumeshuhudia magreda yakichimba mita moja toka kwenye bidhaa wanazopanga wamachinga huku wamschinga wakiangalia tu bidhaa zao ziguswe walianzishe! Uarabuni hakuna upuuzi huo. Mjenzi akifuma nondo kwa ajili ya kimwagia zege usiku zinang'olewa na vibaka wanaojifanya wamachinga huku mjenzi huyohuyo anapambana na wafanyakazi wanao muibia mafuta, simenti na nondo, tulishuhudia Morogoro ambako waya za umeme zilizotandikwa kwenye SGR zikiibwa kwa kuzikata, pamoja na vyuma ya reli kwa ajili ya kuuza vyuma chakavu, kufanya kazi ya ujenzi Tanzania ni ngumu sana.
 
Aseeeee.kuna kitu ameona. sisi hatuna mahali pa kulisemea hili jambo maana kuna kitu huku wqnaita kupugwa..wanatuzarau sana sisi labour wao pale wanaposimuliana wakishafanya maujinga yao.ukizingatia posho yao kwetu ni mshahara wako mwezi mzima.huna hata hamsini unayopata katikati ya mwezi kama wao walivyo hapo ndio inapelekea hata dada zetu kurubuniwa na v50/nav100 na kujikuta marinda hamna.na bora Mkongo umefungiwa.wengine wamekuja tz haelewi kazi wanafundishwa na watz akishajua anakuwa kiongozi wenu( chawa wa bos)kwa kuwasimamia na masimango mengi .na mahr wametengeneza mikataba ya aina yake yaani hata kusogeza gari ikibainika kazi hamna unapugwa....duh...wamebana Sana wapo upande wa mtu rukia .kwa upande wa ulawiti kuna ka group kapotelea mtandaoni kale ka kudanga ifikapo upili ya mapumziko huwa wanaongea nao na kuwatumia nauli popote walipo wakishindwa kuelewana mtz pale anahusika.....mm sio mzoefu wa kuandika Af naogopa kupugwa makosa mshahara japo nkiduchu na hali ya uchumi
Uko sahihi kabisa. Kuna jamaa yangu yuko Dodoma, amenisimulia tabia za hawa washenzi! Kiukweli nimejisikia vibaya sana.

Watoto wa shule ya sekondari wa miaka 16, 17, na 18 wanakusanyana kupitia hayo magroup ya whatsapp! Halafu wanaenda kwa hao Waturuki, wanafanyishwa ngono haram za makundi! Yaani fala mmoja anawafanyia ukatili watoto wawili kwa wakati mmoja! Anawaingilia nyuma na mbele! Wanamnyonya sehemu zake za siri! Halafu akimaliza anawapa elfu 20 kila mmoja!

How come vyombo vyetu vya dola vinashindwa kugundua huu ukatili kwa watoto?
 
Uko sahihi kabisa. Kuna jamaa yangu yuko Dodoma, amenisimulia tabia za hawa washenzi! Kiukweli nimejisikia vibaya sana.

Watoto wa shule ya sekondari wa miaka 16, 17, na 18 wanakusanyana kupitia hayo magroup ya whatsapp! Halafu wanaenda kwa hao Waturuki, wanafanyishwa ngono haram za makundi! Yaani fala mmoja anawafanyia ukatili watoto wawili kwa wakati mmoja! Anawaingilia nyuma na mbele! Wanamnyonya sehemu zake za siri! Halafu akimaliza anawapa elfu 20 kila mmoja!

How come vyombo vyetu vya dola vinashindwa kugundua huu ukatili kwa watoto?
Leo ni mapumziko nenda pale bambalaga,rainbow,club seven utawakuta kibao na booking tayari bado k7lipia2 Af wanapenda Chuchu konz....wanavyodai wengi wa hao dada zetu UDOM....nkishagundua dem nnaefukuzia mturuk kapita aaaah namkwepa naanza sababu maana hachelew kkutegeshea mku.... Coz washazoea ...et Kaka kule kwao ni Jiran na sodoma???sjafuatilia aiseee .... Leo watapata tabu sana na zile lodge za bei kubwa ndio wanapenda sana coz Dada zetu hawajawahi ingia ndani wanaongea kwa injili tu.na nyama choma tunalia ndani na bia mix na vodka nn ile?Af nimesahau wanamix dak2 pombe zenyewe hajazoea anajisevia adi jicho/ndogo tunaitaka sie.ila kaka siwata nigndua navochana ???? Ww wasemaje????au ww ndio hr Af naona unavonichek...ngoja ninyamaze kama kawaida yangu maana.......
 
Back
Top Bottom