Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mix by Ass?kuwa YAS
Mix by Ass?Wapuuzi sasa hawa Yass
Mix by AssWapuuzi sasa hawa Mixx by Yass
Jana wamefanya nishindwa kuwapa watu zawadi za miamala kwa huu ujinga wao. App yao sio reliable kbs. Huu mtandao tunautumia kwa mazoea tu. Binafsi nimeshaanza kuwa na mbadala. Soon nitaacha 5% kwaoNdugu mteja, Muamala umesitishwa. Pesa zako zimerudishwa kwenye akaunti yako ya Mixx by Yas Muamala umesitishwa. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa maelezo zaidi
zero customer care watakufa kifo cha mendeJana nilituma Laki moja kwa wakala wa mkoani, nikamuagiza jamaa apite hapo achukue, aisee, masaa kadhaa sms haijagika kwa wakala, jamaa kagoma kutoa hela mpate sms, mpaka nikawapia simu ndiyo sms ikamfika wakala....Wazembe sana.
Tupa kule line yao tumia mitandao inayojielewaMm mwnyw kuna muamala wa Tsh 40m nilitaka kufanya kusaidia masikini ila hawa Nyash wananiyumbisha.
Haifai ni ya kutupa kule huduma mbovu.Yas mix ni shida inasumbua saana
Ww na Yass nani tajiri!???Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda mrefu mpaka leo hii nimeamua kuja hapa jukwaani.
Nimenunua umeme leo hii ni takribani siku ya tano sijapata token ya umeme huo na kila nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kusubiri nitasubiri mpaka lini? Siku ya tano nikae na kiza na wasubiri nyinyi? Who is accountable?
Nawakumbusha tu FIRST IMPRESSION IS THE LAST IMPRESSION, msipokuwa makini mtapoteza wateja wengi sana kama mimi mlivyonipoteza.
Aliyewachagulia hili jina nadhani alichemka pakubwa sana. Maana limekaa kitoto kitoto sana.Hao ndo yas kama yas
Mi nilivyoona hilo jina tu sihitaji huduma zao
mwanzo una changamoto zake gentleman,Habari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda mrefu mpaka leo hii nimeamua kuja hapa jukwaani.
Nimenunua umeme leo hii ni takribani siku ya tano sijapata token ya umeme huo na kila nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kusubiri nitasubiri mpaka lini? Siku ya tano nikae na kiza na wasubiri nyinyi? Who is accountable?
Nawakumbusha tu FIRST IMPRESSION IS THE LAST IMPRESSION, msipokuwa makini mtapoteza wateja wengi sana kama mimi mlivyonipoteza.
utawasiliana,Aliyewachagulia hili jina nadhani alichemka pakubwa sana. Maana limekaa kitoto kitoto sana.
Nishauhama kitamboHabari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda mrefu mpaka leo hii nimeamua kuja hapa jukwaani.
Nimenunua umeme leo hii ni takribani siku ya tano sijapata token ya umeme huo na kila nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kusubiri nitasubiri mpaka lini? Siku ya tano nikae na kiza na wasubiri nyinyi? Who is accountable?
Nawakumbusha tu FIRST IMPRESSION IS THE LAST IMPRESSION, msipokuwa makini mtapoteza wateja wengi sana kama mimi mlivyonipoteza.
Mazoea mabayaJana wamefanya nishindwa kuwapa watu zawadi za miamala kwa huu ujinga wao. App yao sio reliable kbs. Huu mtandao tunautumia kwa mazoea tu. Binafsi nimeshaanza kuwa na mbadala. Soon nitaacha 5% kwao
Mimi tajiri na YAS pia tajiriWw na Yass nani tajiri!???