Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
- Thread starter
- #41
Tuwa tahadharishe watu wetu wa karibu wakae mbali na huu mtandao wa YAS.Mbaya zaidi hawasemi tatizo liko wapi kwao au Tanesco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwa tahadharishe watu wetu wa karibu wakae mbali na huu mtandao wa YAS.Mbaya zaidi hawasemi tatizo liko wapi kwao au Tanesco.
Hawarudishi pesa nashangaa sana hii kampuni ni ya hovyo sana tufikishe hii habari kwa watu wetu wa karibu.Upo sahihi mtoa mada.
Sishauri kabisa mtu yeyote kufanya malipo kutoka Yass kwenda taasisi nyingine. Pesa wanakata na hazifiki kabisa unakolipia na mbaya zaidi hawarudishi pesa hii ni wiki sasa tangu nifanye malipo kutoka Mixx by Yass kwenda Air Tanzania na malipo hayakufika ila pesa wamekula.
Wapuuzi sasa hawa Yass
Changamoto ni kutapeli pesa za watu? Ukifanya malipo hawakupi huduma na hela hawarudishi huu ni wizi. Siku zote taratibu za fedha ni baada ya muda ukishindwa kutoa huduma kuna kuroll back yani unamrudishia pesa mteja na wangefanya hivi hakuna mtu angelalamika.mwanzo una changamoto zake gentleman,
ni muhimu kuwapa muda kidogo 🐒
YAS ni kampuni ya hovyo wanajipunguzia CREDIBILITY sana.Sasa bahati mbaya customer service agents wa Yas hawajui huduma zao. Sijui wanawatoa wapi hawawapi training. Nimekumbana na matatizo ambayo mengine najua solutions ila sina uwezo wa kurekebisha, unapiga mhudumu hajui au anasema uongo.
Inawezekana kuna vitu vingi hawajakaa sawa hawa wawekezaji wapya.
Wanafanya spamming meseji kibao zisizo na kichwa wala miguu lakini kinachoniuma zaidi ni hili la utapeli kwenye huduma za kifedha.Pia ukitumia tigopesa yao ambayo kwa sasa ndiyo inaitwa Miss Bayas sijui kutuma muamala kwenye namba nyingine watakutumia ma Sms kibao ya kukera kama sita hivi kwa muamala mmoja. Utapokea sms tofauti kutoka Miss Bayas, Yas packs, Yas Magifts na nyinginezo. Ni kero kwa kweli. Ni bora wangetulia na kuandaa sms moja kwa muamala mmoja ambayo itakuwa imebeba ujumbe unaowasilisha hizo sms zote sita tofauti zinazotumwa kwa mteja.
Halina mvuto hata kwa watejaAliyewachagulia hili jina nadhani alichemka pakubwa sana. Maana limekaa kitoto kitoto sana.
Bora jina liwe ovyo lakini huduma iwe bora...sasa jina la kipuuzi na huduma inafanana na jina lenyewe!Aliyewachagulia hili jina nadhani alichemka pakubwa sana. Maana limekaa kitoto kitoto sana.
Kwani ndo wameanza!? Wewe ukibadili jina leo ukajiita Mapembelo ndo utakuwa umezaliwa upya!?mwanzo una changamoto zake gentleman,
ni muhimu kuwapa muda kidogo [emoji205]
Yes of course gentleman,Kwani ndo wameanza!? Wewe ukibadili jina leo ukajiita Mapembelo ndo utakuwa umezaliwa upya!?
Nilikuwa Gairo jana kwenye lodge nilokaa walikuwemo hao watu, wako busy na vikaguru hawakumbuki kama kuna wateja huduma zao zimegomaKwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda mrefu mpaka leo hii nimeamua kuja hapa jukwaani.
Nani kamzidi mwenzieMimi tajiri na YAS pia tajiri
Shukrani mkuu.
Wapuuzi sana natabiri kifo cha hii kampuni soon.Nilikuwa Gairo jana kwenye lodge nilokaa walikuwemo hao watu, wako busy na vikaguru hawakumbuki kama kuna wateja huduma zao zimegoma
vodacom wapewe maua yao.Voda wataendelea kuliteka soko la mawasiliano nchini. Huduma zao zote ni tofauti sana na huduma za mitandao mingine, kuanzia M-Pesa, Internet, Mawasiliano ya kawaida n.k voda wana ligi yao bongo.
vodacom wapewe maua yao.Voda wataendelea kuliteka soko la mawasiliano nchini. Huduma zao zote ni tofauti sana na huduma za mitandao mingine, kuanzia M-Pesa, Internet, Mawasiliano ya kawaida n.k voda wana ligi yao bongo.
Mkuu mwenyewe soon naachana naoHabari
Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao.
Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda mrefu mpaka leo hii nimeamua kuja hapa jukwaani.
Nimenunua umeme leo hii ni takribani siku ya tano sijapata token ya umeme huo na kila nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kusubiri nitasubiri mpaka lini? Siku ya tano nikae na kiza na wasubiri nyinyi? Who is accountable?
Nawakumbusha tu FIRST IMPRESSION IS THE LAST IMPRESSION, msipokuwa makini mtapoteza wateja wengi sana kama mimi mlivyonipoteza.