Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS

Wiki iliyopita nimetoka kuwaambia wafute kila namba waliyonimilikishaa
 
Nina zaidi ya miaka 15 natumia tigo lakini baada ya kubadili kina tu... huduma zao nyingi zimepungua ubora... mbaya zaidi lililoniudhi hadi kutaka kuwa na mpango wa kuwakimbia kabisa... dkk na mb kukimbia kama upepo.... pia mtandao kukosa ubora.. ukiongea na mtu unakatakata vibaya mno... hadi kero
 
Wateja wengi wangekuwa kama wa JF biashara nyingi zingefungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…