Kampuni za betting zilizokimbia soko la tanzania

Kampuni za betting zilizokimbia soko la tanzania

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet

Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
 
ao 22bet washawahi nizingua sana 2021 nliwapiga kiasi ivi wakazuia withdraw na kwa TZ walikua hawana ofisi ofisi zipo kenya tu wakanikaziaga vijisent vyangu n nkaja kuona hawa fanyi tena kazi 255 sad story
 
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet

Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
Nao pia walibet
 
Superbet walikuwaga Mwenge hawa.

Hao princessbet waliamua kuungana na winprincess lakini wapi!

Hivi hawa M-BET ni nani anayetumia mbona sionagi afisa anayetumia!

Kuna wengine wanaitwa mrbet hawa hata miezi 6 hawajamaliza. Sijui wamebadilisha jina au wamekula kona!
 
Back
Top Bottom