Kampuni za betting zilizokimbia soko la tanzania

Kampuni nzuri na rahisi kutumia ya nje kwenye betting ni ipi
 
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet

Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
Wasafi bet na Parimatch bado wapo!?
 
Hakuna binadamu wenye roho ngumu kushinda wanaocheza aviator.imagine mtu kaweka laki alafu odds zimepanda Hadi 10.cash out inasoma million 1.alafu anasubiri odds zipande alafu ghafla system inatia RED.🤣🤣🤣
 
Nashangaa police wanakamata kampuni za deci kisha wanaacha hizi za kamari na za kubet
 
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet

Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
Helabet niliwapiga 1.3m nikatoa 1.2m nikaacha 130k kama mtaji. Kuja kuingia jamaa wameniblock siwezi kufanya chochote kwenye account na salio linasoma.

Kufuatilia wanataka documents (ID) mara NIDA nikawapa, haitoshi mara nitume passport mara nijirecord kwenye screen nikiwa nime log in nikaona huu ufala nikawatema mpaka leo ile account ipo hewani tu ila siwezi kufanya kitu na hela ipo.
1000020967.jpg
 
N
Helabet niliwapiga 1.3m nikatoa 1.2m nikaacha 130k kama mtaji. Kuja kuingia jamaa wameniblock siwezi kufanya chochote kwenye account na salio linasoma.

Kufuatilia wanataka documents (ID) mara NIDA nikawapa, haitoshi mara nitume passport mara nijirecord kwenye screen nikiwa nime log in nikaona huu ufala nikawatema mpaka leo ile account ipo hewani tu ila siwezi kufanya kitu na hela ipo.View attachment 3246518
Nilazima ufuate vigezo na masharti ya kampuni husika. Huenda system zao zilidetect fraudent activities kwenye account yako , hivyo nimuhimu kufanya kile unachoelekezwa hapo watu wamewekeza matrililion nilazima security iwe juu
 
Helabet niliwapiga 1.3m nikatoa 1.2m nikaacha 130k kama mtaji. Kuja kuingia jamaa wameniblock siwezi kufanya chochote kwenye account na salio linasoma.

Kufuatilia wanataka documents (ID) mara NIDA nikawapa, haitoshi mara nitume passport mara nijirecord kwenye screen nikiwa nime log in nikaona huu ufala nikawatema mpaka leo ile account ipo hewani tu ila siwezi kufanya kitu na hela ipo.View attachment 3246518
Kwenye kuweka mkeka hizo habari za id hazipo ila ukiwala ndio wananzisha usenge wao..
 
ao 22bet washawahi nizingua sana 2021 nliwapiga kiasi ivi wakazuia withdraw na kwa TZ walikua hawana ofisi ofisi zipo kenya tu wakanikaziaga vijisent vyangu n nkaja kuona hawa fanyi tena kazi 255 sad story
Sio kweli mkuu , kampuni ikiondoka haiondoki ghafla na hela ya mtu nilazima watoe muda sio chini ya mwaka mmoja watu kutoa hela zao zote wewe ulisubiri miaka mingapi?
 
Helabet niliwapiga 1.3m nikatoa 1.2m nikaacha 130k kama mtaji. Kuja kuingia jamaa wameniblock siwezi kufanya chochote kwenye account na salio linasoma.

Kufuatilia wanataka documents (ID) mara NIDA nikawapa, haitoshi mara nitume passport mara nijirecord kwenye screen nikiwa nime log in nikaona huu ufala nikawatema mpaka leo ile account ipo hewani tu ila siwezi kufanya kitu na hela ipo.View attachment 3246518
Ungefanya tu wanavyotaka wao. Kwenye T&Cs wamelieza hilo kwamba kuna wakati wanaweza kuhitaji hizo document kwa ajili ya uhakiki wa mchezaji. Na wana wajibu wa kushikilia hela endapo mteja hatatekeleza.
 
Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet

Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
Hawajakimbia wamepiga pesa wamepata nauli za kuanzia maisha huko duniani
 
Back
Top Bottom