Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #41
Hapana mkuu. Kwanza ili umiliki kampuni ya kubeti nilazima uwe na mpunga wa maana sio wakitoto. Kwasababu kodi yake tu na uendeshaji sio mchezo ndio mana sio biashara rahisi hata kwa wabongo kuanzisha. Wengi wamehamia masoko yenye faida kama, south africa, kenya, zambia, nigeriaHawajakimbia wamepiga pesa wamepata nauli za kuanzia maisha huko duniani