Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Nao pia walibetKatika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi.
1. Mkeka bet
2. Winprinces (online operation)
3. Princes bet
4. Michezobet
5. Wakabet
6. Tbet
7. Gobet (hawa waliingia vibaya) 🤣
8. Mojabet
9. 22bet
10. 10bet
Wawekezaji wanapaswa kufanya utafiti wa maana kabla ya kuwekeza kwenye hii tasnia pamoja na kutafuta wafanyakazi bora
LBLNimesahau ipi wadau
Mkuu sporty bet itaondoka na roho za vijana wenzetu wallah!! Mambo ni moto mnoSportybet wanajua kucheza na akili za wateja wake na kuwapa wanachotaka.
Ukiwa na customer service mbovu na machaguo machache lazima watu wakukimbie.
Hapana, vijana wacheze kwa nidhamu tuu, hapo ndipo tunapofeli.Mkuu sporty bet itaondoka na roho za vijana wenzetu wallah!! Mambo ni moto mno
Yeah ikitumiwa vzuri mtaji unaweza patikana huko ingawa possibility ni 20/80Hapana, vijana wacheze kwa nidhamu tuu, hapo ndipo tunapofeli.
Yah ndo kucheza kwa kiwango huko, sio unaweka jero ili ushinde milioni 😂Yeah ikitumiwa vzuri mtaji unaweza patikana huko ingawa possibility ni 20/80
Ndio mkuuMkekabet nazan waliona soko halina faida
Maiaha ya mwanadamu ni kubet tuu...sio kilimo sio elimuNao pia walibet
Kwa watu maskini kwa matajiri hela nje njeIn short betting ni mbaya sana haifai kabisaaaaaaa!
Jana nimewachangia laki 4 na elfu 15Mkuu sporty bet itaondoka na roho za vijana wenzetu wallah!! Mambo ni moto mno