Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Enzi za Super StarDom Dar, kitambo sana, tajiri wake alikuwa anaishi maeneo ya kizota 1990s
Ndio maisha hayo ndugu yangu, ni kama gari yake moja kaiunga kule ili maisha yaendeleeKafikia huko? 😳 😳 😳
Enzi hizo Widambe alikuwa tajiri namba moja pale NjombeAha ha ha ha nimewahi kuona hilo neno widambe limeandikwa kwenye kilabu cha ulanzi pale njombe nikafananisha mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Navalonge Swela!Akida bus mtwara
Chiku bus Songea
Kwacha transport
born cost ( dar -mtwara)Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Okey, haya bhanaNdio maisha hayo ndugu yangu, ni kama gari yake moja kaiunga kule ili maisha yaendelee
Akafia hapo au?Enzi hizo Widambe alikuwa tajiri namba moja pale Njombe
Aligongwa na gari mnazi mmoja akiwa ameongozana na mwenye mkokoteni aliyembebea mizigo ya dukani!
Alikufa bwashee!Akafia hapo au?
Tanganyika bus sijui ata aliishiaga wapi tupia naona hawamtaji
1. TANGANYIKA BUS - mwanza
2. TAKRIM na TOWFIQ - Hii ilikuwa mwanza -nairobi -Dar
aaaaa acha bwana nilisoma songea enzi hizo tokea primary hadi a level kwa babu na bibi likizo narudi dar.Wewe kama si wa Lizaboni, au Mateka basi wa Matalawe wewe...!!! ahahaha huwezi kutaja hivyo banaa...!!! Kwacha stendi ilikuwa kwa mama Sabena au sisi kwa sisi pale... Siku hizi soko la manzese
Mkuu naizungumzia dar express hii,au kuna nyingine huko nachingwea?Mara ya mwisho kupanda dar express ni lini vip huduma zao, bado wanagawa soda 2 na keki na pipi, AC mwanzo mwisho? tupe uzoefu wako mara ya mwisho kupanda
Ila kuna kwingine hakukuwa na mabasi.. yaani bila Landrover 109, au Toyota Stout hamfiki... SONGEA TUNDURU, Songea Lituhi...Ilikuwa balaa
Ilikuwa ofisi yangu hiyo Dar to Bukoba kupitia Nrb,Kpl 1999 hadi 2003.Wakongwe wa Nissan Diesel...
Everyday is Saturday....................... 😎
Yup wanapenda sana ulozi,halafu wengi walikuwa ni waarabu sijui kwa sasa.Ila kwa wale wamiliki waliokuwa wanatoka Iringa wengi ni wakinga.Sio wote wana ndagu ila 99.9999% ni washrikina kupita maelezo
Yalikuwepo ya dar mbeya dar pia hayo tawaqalTawaqal Songea Dar
KWACHA Songea Iringa
Ipo ina bus moja sijui au mawili chakavu linaenda kilwa