Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Bazuu washawasha.. Nairobi/Dar-es-salaam...
Zainabu Mbeya. Iringa. Songea.. Hizi gari Mungu ndio anajua maana baadhi zilikuwa zinaungua..
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
born cost ( dar -mtwara)
tawakali ( dar - lindi )
 
Wewe kama si wa Lizaboni, au Mateka basi wa Matalawe wewe...!!! ahahaha huwezi kutaja hivyo banaa...!!! Kwacha stendi ilikuwa kwa mama Sabena au sisi kwa sisi pale... Siku hizi soko la manzese
aaaaa acha bwana nilisoma songea enzi hizo tokea primary hadi a level kwa babu na bibi likizo narudi dar.
 
Mara ya mwisho kupanda dar express ni lini vip huduma zao, bado wanagawa soda 2 na keki na pipi, AC mwanzo mwisho? tupe uzoefu wako mara ya mwisho kupanda
Mkuu naizungumzia dar express hii,au kuna nyingine huko nachingwea?
FB_IMG_1592391832462.jpeg
FB_IMG_1592391714981.jpeg
FB_IMG_1592391965498.jpeg
FB_IMG_1592391911502.jpeg
 
Musoma express (musoma) tunasubir tusubir uwamuz ea mahakama tujue hatima ya iveco zake
 
Sio wote wana ndagu ila 99.9999% ni washrikina kupita maelezo
Yup wanapenda sana ulozi,halafu wengi walikuwa ni waarabu sijui kwa sasa.Ila kwa wale wamiliki waliokuwa wanatoka Iringa wengi ni wakinga.
Abood mwarabu
Sumry mwarabu
Hood mwarabu
Aly said mwarabu
Tawaqal mwarabu
Shabiby mwarabu
Scandinavia alikuwa mwarabu
 
Back
Top Bottom