Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Ubinafsishaji umemaliza taasis zote mkuu
 
Nakumbuka wakati ule kiwanda cha nguo cha MWATEX kipo vizuri, kwa haraka haraka, kulikuwa na mabasi si chini ya saba ambayo yalikuwa barabarani, kwa njia zifuatazo, ili kuwafuata/kuwarudisha wafanyakazi: -

1:KIRUMBA

2😛ASIANSI

3:BUGANDO

4:IGOGO

5:IGOMA mawili

6:KISESA
 
super service imepotea..? hyo c ipo manyoni pale mjini kati..
 
Unapinga nini wewe! Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anamamlaka ya kukutengua,wewe unapinga nini au ulikua mnufaika wa ukuu wa Mkoa wake mrija umekatwa eeh. The president has just exercise his power legally. Any way pole
Punguza hasira mkuu! Hapa yanajadiliwa mabus.. itakuwa umechanganya nyuzi
 
Mbona shabiby yupo miaka nenda rudi kama ni biashara kichaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…