EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #401
Hii bado ipo ila inachechemea inaenda ROMBOUmesahau Meridian Coach
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii bado ipo ila inachechemea inaenda ROMBOUmesahau Meridian Coach
Ubinafsishaji umemaliza taasis zote mkuuSijui ni Mimi tu? Mbona huwa nikifikiria au kukumbukia vitu vya Zamani naona kama Zamani nchi ilikua imeendelea sana kuliko sasa?
Imagine Zamani kulikua na viwanda vingi na mabasi ktk kila kampuni na viwanda hapa Dar..... Wafanyakazi walikuwa hawapandi dala dala
Urafiki textiles
Besco
Tipper
Bima
Uhamiaji
Wazo Hill
Bora shoes
General Tyre
Chuo kikuu
Nasaco
Tanzania Breweries
Tanzania Elimu supply
Akiba
Tafico
R. T. D
UFI
Police
Jwtz
Air Tanzania,
Sukita
Sungura textiles
Tanzania Railway
Tanganyika Packers
Muhimbili... Na wizara zote pamoja na taasisi
But kamata ended early in 90s,railway angalau zipoCamera ilikua deal....
Nakumbuka wakati ule kiwanda cha nguo cha MWATEX kipo vizuri, kwa haraka haraka, kulikuwa na mabasi si chini ya saba ambayo yalikuwa barabarani, kwa njia zifuatazo, ili kuwafuata/kuwarudisha wafanyakazi: -Sijui ni Mimi tu? Mbona huwa nikifikiria au kukumbukia vitu vya Zamani naona kama Zamani nchi ilikua imeendelea sana kuliko sasa?
Imagine Zamani kulikua na viwanda vingi na mabasi ktk kila kampuni na viwanda hapa Dar..... Wafanyakazi walikuwa hawapandi dala dala
Urafiki textiles
Besco
Tipper
Bima
Uhamiaji
Wazo Hill
Bora shoes
General Tyre
Chuo kikuu
Nasaco
Tanzania Breweries
Tanzania Elimu supply
Akiba
Tafico
R. T. D
UFI
Police
Jwtz
Air Tanzania,
Sukita
Sungura textiles
Tanzania Railway
Tanganyika Packers
Muhimbili... Na wizara zote pamoja na taasisi
Interpetro ni Burundi na rwandaKuna kampuni ya usafirishaji wa Mafuta inaitwa INTERPETROL naona pia iligawa maadha ya magari yake yamesajiliwa nchi jirani
Anajiita HBSSabena Mbeya to Tbr
Punguza hasira mkuu! Hapa yanajadiliwa mabus.. itakuwa umechanganya nyuziUnapinga nini wewe! Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anamamlaka ya kukutengua,wewe unapinga nini au ulikua mnufaika wa ukuu wa Mkoa wake mrija umekatwa eeh. The president has just exercise his power legally. Any way pole
Ngoja niende panapohusika.Shida nilipanic mkuu.ThanksPunguza hasira mkuu! Hapa yanajadiliwa mabus.. itakuwa umechanganya nyuzi
Itabidi nikija huko nipande Zuberi ila kama unanidanganya, ntalala kwa dada yako
Kilimo kinalipa mzee Ila lazima uwe na misuli
Zana za kisasa kuanzia kulima hadi kuvuna na eneo kubwa sana
Sumry sijui Kama ana hamu na hio biashara ya usafirishaji Tena
Na Kama akirudi Basi for show off maana Ni biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app