Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Hivi Hood imepotea siku hizi??
 


Muro Investment
Lucky star
National
Anam
Mombasa raha
Musoma express
Green star
Ndenjela jet
Air bus
Princes Shabaha

Kupotea sababu kubwa huwa ni Mikopo, wengine hukopa kwenye makampuni yanayouza hayo ma bus, mfn Mombasa raha, wengine Uendeshaji huwa mbovu, madeni kwenye vituo vya mafuta, pia kama hauko sawa na madereva hufanya hujuma ya kuziharibu bus wakishirikiana na mafundi, kingine fine zikiwa nyingi,
Kiufupi ni biashara yenye changamoto nyingi ambazo zinahitaji uwe imara kweli kweli
 
Fresh ya shamba.
 
Umenikumbusha mkuu,mwanahapa bus nilipata nayo ajari ,natokea mbeya mwaka 2003,saa nne usiku ,ile tumeimaliza mikumi tu,taili ya mbele ikapasuka,ajali ilikuwa mbaya sana,nashukuru nilichubuka kidogo tu mkononi,lakini walikufa watu na kukatika viungo,Cha kusikitisha zaidi mpaka ajari inatokea mzee nilikuwa namnawa manzi,nashtuka tupo porini gari miguu juu.namshukuru sana mungu na sitakagi Tena kukaa na demu safarini.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…