Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Hizo kampuni za zamani sana.
Wababe shabiby na ABC hawachuji hawa.

Siku hizi wachina ndio wanakimbiza Zhong Tong na Yutong.
Wababe na wakongwe bado wapo wengi wanapambana kinoma, pia vijana nao wameingia kwenye ssoko kwa fujo
 
Wababe na wakongwe bado wapo wengi wanapambana kinoma, pia vijana nao wameingia kwenye ssoko kwa fujo
Wakongwe wengi sijui wanakwama wapi. Kuna kampuni mpya zinakimbiza ukipanda kama uko kwenye ndege😀😀
 
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
KISWELE NI SONGEA SIYO MBEYA,... alikuwa songea ligi na special sleeping coach. kabla ya Ruvuma tours line, Likungu, Tawaqal na hood, then Zainab na scand Chiku ...kilimanjaro...shabiby .. kabla ya Ufalme uliotukuka wa Mkinga Superfeo na selous
 
Ongeza na DAR EXPRESS ndio inaishia
 
Kiswele sio Songea/Ruvuma mdau
 
Kabsa yani bus za kaskazin
Naona znashika Tama sana
Wakat huu
Huoni kwamba hili ni Jambo jema kwakuwa fedha nyingi zitabaki kwa wananchi ambao ni abiria tufauti na awali ambapo walionufaika zaidi walikuwa wamiliki wa mabasi na vituo vya mafuta?
 
Huoni kwamba hili ni Jambo jema kwakuwa fedha nyingi zitabaki kwa wananchi ambao ni abiria tufauti na awali ambapo walionufaika zaidi walikuwa wamiliki wa mabasi na vituo vya mafuta?
Exactly but pia inategemea na hyo nauli ya
Tren ndo pesa ibak kwa mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…