Umesahau mabasi ya lakeMbona mmesahau hizi:-
- KAMATA miaka ya 1970s
- Ndomi ( musoma)
- J4 (mwanza)
- Bunda bus nae tunamzika taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau mabasi ya lakeMbona mmesahau hizi:-
- KAMATA miaka ya 1970s
- Ndomi ( musoma)
- J4 (mwanza)
- Bunda bus nae tunamzika taratibu
sai baba, bufarooScandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line
Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.
Ongeza unazozijua
Sumry bado yupo, sema kabadili jina tu.. mabasi ya mbeya to dar yameandikwa Mbeya Express...yale yanayopiga mbeya sumbawanga bado yameandikwa sumry....kwa sasa sumry ame base sana kwenye kilimokeshapotea karudi kwenye kilimo, kuna kipindi aliyojiwa na Ayo TV akasema kapumzika kwanza
Nope...... ImesimamaNgorika si bado IPO?
Wahenga wenzangu akina Bujibuji sina shaka wanayakumbuka hayo mabasi!kwa tanga
bembea
sadis
zafanana
morogoro
makundi
sharuksi
kusini
born cost
amwenye
akida
[emoji23][emoji23] binafs nimezikuta na nimesafiri nazo toka sumbawanga to mbeya kwa safari ya siku mbiliWahenga wenzangu akina Bujibuji sina shaka wanayakumbuka hayo mabasi! View attachment 1481912View attachment 1481913
Hii ilikuwa JV walivyoanza kujitoa mmojammoja ndio ikafaHuyu scandinavia sijui alikumbwa na balaa gani
Ally's Sports Bus ni tofauti na Ally's Star...ni biashara za Mtu na mdogo wake...Matajiri wengi wamebadili majina ya mabasi ingawa pia wapo waliofilisika. Kwa mfano njia ya Dar mpaka Moro zamani kulikuwa na basi linaitwa Makundi Coach. Sasa hivi ni BM Coach.
Njia ya Dar mpaka Tanga kulikuwa na basi linaitwa Air Shengena sasa hivi ni Tashrif;
Kulikuwa na Air Msae akabadili ikawa Metro Coach na hii Metro Coach kama kufilisika basi ni mwaka huu au mwaka jana mwishoni ila nakumbuka nilikuwa naziona basi zake pale Shekilango.
kanda ya Ziwa kulikuwa na mnyama mmoja anaitwa Ally's Sports Bus huyo anainuka Dar saa kumi na mbili asubuhi ikifika kumi na mbili jioni watu wanaitafuta Nyegezi. Huyu kaja kivingine sasa anaitwa Ally Star
Na pia kuna baadhi ya matajiri wameyapa makampuni yao majina mengine ingawa bado wanatumia yale ya zamani. Katika hili kwa mfano kuna Super Feo ndio Selous Express; kuna New Force ndio Golden Deer mkali wa Nyanda za Juu Kusini
Zuberi za Mwanza anatumia pia Kisesa.
Hivi Ngorika ilipotea wapi?! Nakumbuka kuna Basi lao moja hivi lilikua linaitwa Ngorika Chuma. Linatoka Dar Saa 12 asubuhi, Saa 7 kasoro lipo MoshiShabaha
Ngorika
Shabaha ndio Kilimanjaro BusShabaha
Ngorika
Hii kwa sasa ndo Kilimanjaro BusShabaha Moshi-Dar ilikuwa balaa... Yaani asubuhi ya saa 12 ikitoka Moshi, Saa 7 Tupo Dar
Kesi ya wizi wa mafuta bandarini ndo ilimfanya aanze kubadili badili majinaHuyu ali - diversify saana amekwamaje?
Prince Muro
Princess Muro
Princes Munaa
Scandinavia natamani irudi hata leo
[/QUOTE
W
Scandinavia was a luxury bus Asee! I remember those good time tunasafiri Dar mpaka Kampala