Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

bora pesa zibaki kwa wafanya biashara kuliko kwenye zikae tu kwenye taasisi za serikali zikawanufaisha viongozi wakubwa wa serikali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tuacheni jamani
 
Sumry kabadili biashara kajikita kwenye kilimo hule Katavi Scandnavia alibadili jina na kuwa Green star
Sumry ni sahihi ila kwa Scandinavia siyo kweli mkuu, green star ilikuwa ni kampuni ya mdogowe, ila kaka mtu aliingia kwenye biashara ya kusafirisha mafuta kupeleka DRC na ndiye alikuwa agent mkuu wa mabasi ya Yutong Tanzania.

Hapo kabla ya watanzania kwenda direct kiwandani, Basi lolote lenye nembo kwa nyuma BENBROS hujue limepitia kwa huyo jamaa
 
Tanganyika bus
Trans United
Bukwaya
Chacha manko
Shukrani best
Lake zone hizi hapa.
Mkongwe wa Kanda amebakia Zakaria nimemsikia nikiwa mdogo mpaka saivi nazeeka
 
Sumry ni sahihi ila kwa Scandinavia siyo kweli mkuu, green star ilikuwa ni kampuni ya mgogowe, ila kaka mtu aliingia kwenye biashara ya kusafirisha mafuta kupeleka DRC na ndiye alikuwa agent mkuu wa mabasi ya Yutong Tanzania.

Hapo kabla ya watanzania kwenda direct kiwandani, Basi lolote lenye nembo kwa nyuma BENBROS hujue limepitia kwa huyo jamaa

Soma comments za juu kuna mdau kaeleza kama mimi.

Ni kama vile HOME SHOPPING CENTER ilivyojifilisi na kuibuka kama GSM

WENYE AKILI TUNAJUA
 
Tanganyika bus
Trans United
Bukwaya
Chacha manko
Shukrani best
Lake zone hizi hapa.
Mkongwe wa Kanda amebakia Zakaria nimemsikia nikiwa mdogo mpaka saivi nazeeka
[emoji1309][emoji1309][emoji1319][emoji1319]
 
Mpaka wiki jana hawakuwepo.
Walisimama sababu ya corona.

Lakini makonda na wakata tikect wote wamehamia kampuni mpya inaitwa Nacharo.

Sasa was curious kama wameanza au bado au bado?
Nacharo inamwaga Moto balaaa
 
Soma comments za juu kuna mdau kaeleza kama mimi.
NIMEKUJIBU ISSUE YA GREEN STAR MKUU
Ni kama vile HOME SHOPPING CENTER ilivyojifilisi na kuibuka kama GSM
WENYE AKILI TUNAJUA
Green Star haikudumu barabarani hata miaka mitatu na ilianza kabla ya Scandinavia kutoweka, green star haikuwa kampu.i ya MO aliyekuwa mmiliki wa scandi.
 
Back
Top Bottom