Kampuni za Yasser Provison Store na Zenj General zilizohusishwa kashfa ya Sukari na Waziri Bashe zinamilikiwa na nani

Mimi bado namshangaa mteule wa Bashe kwa nini bado Bashe anaendelea kuwa Waziri wa Kilimo. Ripoti hii inatisha sana. Kampuni ya stationery, Kampuni ambayo kisheria ya Brela hairuhusiwi kufanya biashara na Serikali, Kampuni toka Zanzibar kuruka kuja Tanzania Bara kupewa vibali. Hii inatisha sana.
 
Kufuatilia hapo unaweza usikutane na mbantu hata mmoja, walio nyuma ya deal aka master minds utakuta wote ni waasia na waarabu na wabantu walivyokuwa wapumbavu unakuta wamepewa vijirushwa kidogo wamenyamaza
 
Ugonvi wa wansiasa ni wa masilahi sisi tunachojali ni sukali imeletwa na sasa hapa Mbeya imeanza kuuzwa sh. 3000 na pengine itashuka zaidi.
 
State Capture.
We have been Captured.
 
Acha kutetea usichokijua.
Sitetei ila nimemuuliza hao wasio na sifa walifanikiwa kuleta sukari ?! Maana kulisemwa bungeni makampuni ya sukari yenye sifa walipewa vibali lakini hawakuongiza sukari hata kilo moja ili kuongeza uhaba mpaka bei ifike elfu kumi na moja kwa kilo .Swali hao wasio na sifa waliingiza na kama waliingiza sukari waliuza bei gani ?! Mwisho wa siku tunataka afadhali kwa mlaji wa mwisho
 
Hivi hizi ref number,mpaka namba za risit kazipataje pataje,atakua ana hack
 
51% ni ya ni ya Nani
 
Hapa ukichunguza kwa makini mama yumo kupitia hizo kampuni za Zanzibar na kijana wake hakosi,

Zilizobakia Rostamaa Azaza kupitia hao wahindi
 
Wenye sifa walipewa vibali hawakuleta hata kilo moja.. hao wasio na sifa walifanikiwa kuleta au hawakufanikiwa .. kama walifanikiwa sioni shida mwisho wa siku lengo ni kupunguza maumivu kwa mwananchi
Issue ni procedure in place, ndio maana tuna bunge,kazi yake kutunga sheria na kanuni mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji,hii siyo nchi waziri anaamka na kujiamulia hovyohovyo,

Ficha upumbavu wako
 
Nchi ilikua na shida ya sukari, waliopewa vibali wameleta Sukari Bado inaonekana ni kashfa.

Msi ingize siasa zenu za majitaka kwenye maisha ya Watanzania.
Unaagizaje sukari una mtaji wa milioni hamsini?,are you serious?
Acha wendawazimu
 
Issue ni procedure in place, ndio maana tuna bunge,kazi yake kutunga sheria na kanuni mbalimbali kwa ajili ya utekelezaji,hii siyo nchi waziri anaamka na kujiamulia hovyohovyo,

Ficha upumbavu wako

Issue imetokea ni dharura tusubiri mpaka bunge likae ni lini meanwhile kuna bodi ya sukari na vyombo husika .. Luhanga mpina anatumiwa na wale watu saba ambao wanataka ku control soko la sukari na kuumiza watanzania.. kwa ufupi mnaopinga bashe mna maslahi yenu binafsi na mlitaka sukari ifike hadi elfu 20 kwa kilo. FICHA UJINGA WAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…