Kampuni za Yasser Provison Store na Zenj General zilizohusishwa kashfa ya Sukari na Waziri Bashe zinamilikiwa na nani

Hivi aliyetunga sheria ya kuwapa wazalishaji wa viwanda vya sukari haki ya kuagiza na kusambaza sukari kutoka nje aliwaza nini? Wapi check and balance? Hawa si watakuwa wanajiamulia kila kitu kwenye sekta ya sukari?
 
Wa-Asia wataimaliza hii nchi
Wanaoimaliza ni viongozi wetu wenyewe wenye tamaa za mali, wasiojali kuhusu tanzania, wasikuwa na uzalendo. Hao wa asia tutawaonea bure, kwani mtu akikuletea jambo la hovyo ambalo litaumiza wananchi kuna ulazima ukubali, kwani waziri alishikiwa bunduki.

Viongozi wengi nchi hii ni wapigaji nao ndio sababu kuu nchi hii kutokusonga mbele, hajali maslahi ya taifa ye muhimu apige tu
 
Emergency ina procedure zake,hivi umesoma Ushahidi uliotolewa mwanzo mwisho,si upo hapa jukwaani?,
Au unajizimia data?
 
Emergency ina procedure zake,hivi umesoma Ushahidi uliotolewa mwanzo mwisho,si upo hapa jukwaani?,
Au unajizimia data?
Achana na Ile rubbish .. ipo kwa maslahi ya watu Saba tu , nimeuliza swali simple sukari walileta au hawakuleta.. na kama walileta bei ilishuka au haikushuka
 
Zanzibar wasipokuwa develiped country katika hiki kipindi cha Samia. Hawataweza tena
 
Mmiliki
 
Mkuu kuna mambo hapa Bongo mpaka unajiuliza hivi hawa watu hawana hata uchungu na huu umasikini uliokithiri mitaani? Inasikitisha sana
 

Hii kampuni ina mkono ya mbunge wa Mpendae.
 
nasikia wamo wabunge na vigogo wengine wakubwa ndani ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…