Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

Kampuni zilizoleta mabasi mengi kwa mwaka 2023

hizi hizi ulizo taja basi Mimi nilijuwa zinagonga bilioni kwamoja mkuu
Tz hakuna gari ya bilioni moja gari za bei mbaya kwa hiz truck ni scania volvo benz iveco mani Daf na hiz ziwe mpya zero km mfano scania NTG G 460 ni inafika mil 300 hapo ni unit peke yake ukichukua na trailer km ni doll ni mil 70 kwa flat na mil 100 kwa tanker so scania NTG mpk ipo barabarani inafika mil 400 na km scania ni mtumba wa UK kwa hiz R 400 ni mil 120 kwa unit peke yake na ukipata trailer la mtumba la UK ni mil 35
 
dah Mimi nimezoea magari haya madogo mfano range na bmw mana bongo magari hayo yapo bilioni +

kumbe ndionani Hawa wenye range na bmw wanavimba sana
Scania R 500 NTG ikiwa mpya ndio unafika mil 500 kwa unit peke yake ila hiz gari kwa tz haziuzwi znakuja zikiwa mtumba kusini mwa africa ndio wanazo
 
Nafarijiika kumuona mkwe kwenye hiyo list , umejitahidi ila huna details za ukweli ........... Hongera kwa kujaribu
 
Great Thinkers tujadili Kampuni iliyoleta mabasi mengi kweli??inamsaidia nini Bibi yangu kule KIJIJINI??
Shida ya Watanzania wengi ni kuwa wanawaza sana kuziona faida za moja kwa moja, na hawajali kabisa faida za kupitia kwanza upande mwingine.

Ni kama uonavyo wewe mkuu. Kwa sababu hujawaza kabisa kama haya mabasi 104 yana ajira 208 kwa Watu wa jinsia zote mbili.

Hujawaza kuwa, mjadala unaweza kusaidia wenye sifa za ajira hizo kuamua pa kupeleka maombi yao kwenye nafasi nyingi zaidi.

Hata mmoja wa wajukuu wa bibi yako kule kijijini akipata ajira mojawapo, bila shaka atakuwa akipeleka walau mfuko wa mbolea kule kijijini kwa bibi yenu.

Ova
 
Tz hakuna gari ya bilioni moja gari za bei mbaya kwa hiz truck ni scania volvo benz iveco mani Daf na hiz ziwe mpya zero km mfano scania NTG G 460 ni inafika mil 300 hapo ni unit peke yake ukichukua na trailer km ni doll ni mil 70 kwa flat na mil 100 kwa tanker so scania NTG mpk ipo barabarani inafika mil 400 na km scania ni mtumba wa UK kwa hiz R 400 ni mil 120 kwa unit peke yake na ukipata trailer la mtumba la UK ni mil 35
Zile Scania za asas shingap
 
Back
Top Bottom