Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Daaah yani nisawa uende hospital y mwimbili kisha ukalalamikie yale maduka y DAWA kule nje mbona dawa bei kubwa.ss hao muhimbili wafanyeje?.Pia kwani lazima utolee pale copy?
Kamishina fanya kazi zako kwa umakini nakukubali mnooo.
Sawa Tajiri Zuzu.
 
Mi walinambia tupe laki 3 tukupatie passport ndani ya siku 3 nikawaambia sina hela wacha nisubirie kawaida tu nikapata japo kwa kuchelewa just imagine sehemu nyeti kama uhamiaji kuna kuwa na mambo hayo sehemu nyingine sijui zipoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisheria ukimaliza taratibu zote Pasipoti yako unatakiwa uipate ndani ya Siku Kumi ( 10 ) za Kazi.
 
Wengine tuna Damu ya Kunguni mbele ya hao Uliowataja kiasi cha Uzi wangu uwe Dokezo kama utakavyo.
Aisee
Basi Mungu akubariki kwenye huu uzi umewazungumzia wanyonge wanaoumizwa na hao jamaa hapo Uhamiaji.

Active Wakubwa hamuuoni kama huu uzi una vigezo vya kuwa DOKEZO?
 
Pascal Mayalla
Hii kitu hii inafifisha haki ya kila mtanzania kupata hati ya kusafiria....



Kisheria hili limekaaje
 
Aisee
Basi Mungu akubariki kwenye huu uzi umewazungumzia wanyonge wanaoumizwa na hao jamaa hapo Uhamiaji.

Active Wakubwa hamuuoni kama huu uzi una vigezo vya kuwa DOKEZO?
Acha kulazimisha Damu ya Kunguni GENTAMYCINE nikubalike na uliyemtaja mwanzo na huyu wa sasa. Threads zangu hazina Hadhi hiyo ya kuwa Dokezo kama Unavyowalazimisha.
 
Kisheria ukimaliza taratibu zote Pasipoti yako unatakiwa uipate ndani ya Siku Kumi ( 10 ) za Kazi.
Almost one month na tulikuwa na safari ya haraka kazini nadhani waliliona hilo ndio maana ilikuwa wanachelewesha maksudi ili tuwape chochote hii nchi watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.
 
Kama Wewe ni Mmoja wa UHAMIAJI Staff hapo Kurasini au pale Wizara ya Mambo ya Ndani Posta basi si tu ni Hasara Kubwa Kiutendaji hapo UHAMIAJI na kwa Taifa, bali pia utakuwa ni Juha ( Imbecile ) tukuka kabisa.
Sasa wewe lawama zako zielekeze sehemu husika kama ni biashara elekeza kwa walengwa wa biashara unadhan kamishna wa uhamiaji atafanya nn wafanyabiasharaaa.
Anyway ukweli unaweza usikufurahishe ila yale ya uhamiaji moja kwa moja nadhan ni wajbu wake kuyafanyia kazi
 
Hapo namba 3, unamaanisha Jeshi la Uhamiaji linalindwa na SUMA JKT na polisi wa kawaida. Does it make sense?
 
Aisee hapa Tz tunafanya passport bonge la deal. Barua ya wanaokualika ukatalii.....
 
Yaani nikienda Uhamiaji yeyote naona Watanzania wakihangaika kupata passport kama vile sio Raia na akiipata anashuru Mungu kweli kama kapata kitu cha maana kumbe ni vitu ambavyo anatakiwa awe navyo kama kijana wa Tanzania...vitu vyote anavyo ataulizwa maswali kama vile wanampa maisha...
 
Ujinga mwingi sana kwenye hizi idara.
 
Kazi kweli kweli ......kila sehemu deal tùuu
 
Unajiona umeandika point kweli??
 
mm ni miongoni mwa watu wanaokubali aina yako ya uandishi fikirishi GENTAMYCINE , kongole sana, ujumbe unafika na unawasemea wengi[emoji1666]

Msalimie sana Matiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…