Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Wanatengeneza ulaji,
 
Uyo Uchira 1 ni mmiliki wa stationary atakuwa kwahy anajidefence
Mkuu hilo eneo si mkazi wala sina biashara wala sina ndugu au rafiki anayeuza ama kutoa huduma yoyote.

Issue ya biashara apeleke kwa walengwa ya uhamiaji iende kwa uhamiaji. Hivyo itafanya kilio kionekane kinamashiko tofaut na alivyounganisha
 
DP World watuendeshee pia ikulu na bunge. Wale wanawake wawili waliowekwa na Magufuli ni hovyoo.
 
Hii ya ndugu zangu watanzania kupenda kujinufaisha na shida za dharura za wenzao ni tatizo kubwa, eti utakuta watu pembeni mwa barabara mbovu sehemu yenye maji au matope wanasubiri ukwame wakusukume uwalipe wakati huo wanajua unapopita utakwama ila kuna upande hapo hapo ambao ni salama hawakwambii hii ni laana kubwa kwa Mwenyezi Mungu.
 
Huna Akili bila ya uwepo wa Ofisi hiyo ya UHAMIAJI hapo Kurasini kungeibuka Stationeries nyingi hizo hapo Jirani kama Uyoga?
 
Ukweli ni kuwa tu watanzania hatupendani ndiyo mana unafk mwingi na hilo ndilo viongozi wengi wanalo litumia kutunyoosha hasa!
 
Hayo ni mambo ya usalama ambayo hata Mimi siyajui
 
Jamaa kaandika Ujinga tupu eti inabidi uite sijui kamisheni jenerali, siyo jenerali kwani akiita ivyo kuna nini? Toa hoja kenge maji wewe
Kwani unajua tofautiya Brigadier Jenerali na Brigadier ni Moja?

Unajua tofauti ya Inspector Jenerali na Inspector?

Unafahamu Kuna makashna wangapi hapo uhamiaji?

Kenge ni wewe usiyeona mantiki ya hizo maana mbili, umbwa kabisa
 
Acheni kunilazimisha Niwadharau na Niwaite Wapumbavu halafu mkasirike sawa?

Hiyo Bei ya Copy ya Kawaida ya Tsh 500/= kwa Kurasa Moja imeandikwa na ipo Ukutani.

Kama una muda nenda Ukajiridhishe na nikisemacho na huwa sitoi Taarifa ya Uwongo.
Kiongozi kabla hujawahukumu watoa copy, umeshafanya utafiti kujua frame yale maeneo ni bei gani? Mkuu ndo madhara ya biashara huria. Nyerere aliwaambia hamkuelewa. Nenda pale mjini kuomba visa ya kwenda Ulaya utaniambia copy umetoa kwa bei gani.
 
Mwenyewe huna akili kaz kulialia sehemu zisizo sahihi
Eti mkuu wa uhamiaji atoe tamko la kupunguza gharama ya kopi kwenye biashara binafsi za Watanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hii ndio product ya Vyuo vya hovyo kama SAUT
 
Hahaaaa
 
Halafu wakuu wote wa Ulinzi na Usalama wameondoka (kustaafu/kutenguliwa) lakini huyu YUMO tu. Huenda kinachombeba ni kwasababu yeye ni.........

Anyway ngoja ninyamaze tu
Jinsia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…