TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Black and white,coloured wanafanya bukuJe, ni copy ya aina gani? Maana kama ni Coloured bei itakuwa juu.
Hayo mengine siyajui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Black and white,coloured wanafanya bukuJe, ni copy ya aina gani? Maana kama ni Coloured bei itakuwa juu.
Hayo mengine siyajui.
Wanatengeneza ulaji,Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Zote zinatazama jengo la uhamiaji ni 500,zile zilizopo eneo la kanisaHakuna mahali copy kwa sh 500 labda ya rangi
Toka liniZote zinatazama jengo la uhamiaji ni 500,zile zilizopo eneo la kanisa
MimI mwakajana nilifuatilia passport ya mtu hapoToka lini
afadhari umelijua hili mapema..........kwa sisi Masikini akina GENTAMYCINE.
Mkuu hilo eneo si mkazi wala sina biashara wala sina ndugu au rafiki anayeuza ama kutoa huduma yoyote.Uyo Uchira 1 ni mmiliki wa stationary atakuwa kwahy anajidefence
Hii ya ndugu zangu watanzania kupenda kujinufaisha na shida za dharura za wenzao ni tatizo kubwa, eti utakuta watu pembeni mwa barabara mbovu sehemu yenye maji au matope wanasubiri ukwame wakusukume uwalipe wakati huo wanajua unapopita utakwama ila kuna upande hapo hapo ambao ni salama hawakwambii hii ni laana kubwa kwa Mwenyezi Mungu.watanzania ni watu wa ajabu sana wanapenda sana kutumia shida za watu kujiingizia kipato kisicho halali
mfano hapo kwenye kopi ya tsh 100 wao wanafanya tsh 500 na wanajua watawapata wengi,ujinga huo huo ulikuwepo Police pale ukienda kutafuta loss report
nchi imejaa laana hii watu wanawanyonya watu pesa isiyo halali na ndio mana shida haziishi 😎
Huna Akili bila ya uwepo wa Ofisi hiyo ya UHAMIAJI hapo Kurasini kungeibuka Stationeries nyingi hizo hapo Jirani kama Uyoga?Sasa wewe lawama zako zielekeze sehemu husika kama ni biashara elekeza kwa walengwa wa biashara unadhan kamishna wa uhamiaji atafanya nn wafanyabiasharaaa.
Anyway ukweli unaweza usikufurahishe ila yale ya uhamiaji moja kwa moja nadhan ni wajbu wake kuyafanyia kazi
Hayo ni mambo ya usalama ambayo hata Mimi siyajuiKwani akiingia na mizigo amevunja sheria gani ya nchi? Hiyo mizigo akiibeba mgongoni kwake inaathiri vipi utoaji wa huduma? Bila shaka wewe ni miongoni mwa wanaotaka barua ya kualikwa kutoka nje ya nchi ili kumpatia passport. Hoja za mtoa mada ziko nyeupe kabisa, fanyieni kazi.
Onyesha makosa ya hoja zangu ikiwa wewe mwenye akili nyingi hujaandika chochote Cha maana.Unajiona umeandika point kweli??
Kwani unajua tofautiya Brigadier Jenerali na Brigadier ni Moja?Jamaa kaandika Ujinga tupu eti inabidi uite sijui kamisheni jenerali, siyo jenerali kwani akiita ivyo kuna nini? Toa hoja kenge maji wewe
Kiongozi kabla hujawahukumu watoa copy, umeshafanya utafiti kujua frame yale maeneo ni bei gani? Mkuu ndo madhara ya biashara huria. Nyerere aliwaambia hamkuelewa. Nenda pale mjini kuomba visa ya kwenda Ulaya utaniambia copy umetoa kwa bei gani.Acheni kunilazimisha Niwadharau na Niwaite Wapumbavu halafu mkasirike sawa?
Hiyo Bei ya Copy ya Kawaida ya Tsh 500/= kwa Kurasa Moja imeandikwa na ipo Ukutani.
Kama una muda nenda Ukajiridhishe na nikisemacho na huwa sitoi Taarifa ya Uwongo.
Mwenyewe huna akili kaz kulialia sehemu zisizo sahihiHuna Akili bila ya uwepo wa Ofisi hiyo ya UHAMIAJI hapo Kurasini kungeibuka Stationeries nyingi hizo hapo Jirani kama Uyoga?
Eti mkuu wa uhamiaji atoe tamko la kupunguza gharama ya kopi kwenye biashara binafsi za Watanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mwenyewe huna akili kaz kulialia sehemu zisizo sahihi
HahaaaaSitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Usalama wa kiboya kabisaHayo ni mambo ya usalama ambayo hata Mimi siyajui
JinsiaHalafu wakuu wote wa Ulinzi na Usalama wameondoka (kustaafu/kutenguliwa) lakini huyu YUMO tu. Huenda kinachombeba ni kwasababu yeye ni.........
Anyway ngoja ninyamaze tu